Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk.
Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana.
Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi.
Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12?
Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile?
Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile?
Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...
Taifa letu limekuwa kwenye changamoto ya kutokuwa na umeme wa uwakika toka enzi na enzi. Serikali imefanya jitihada kubwa kusambaza umeme mijini na vijijini. Tuwapongeze viongozi kwa hilo.
Kutokana na maendeleo ya teknolojia, uchumi, rasilimali tulizonazo, maendeleo haya hayaendani na ukubwa na...
Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha uzalishaji wa umeme unaotokana na Umeme wa Joto ardhi kilichopo Kijiji cha Mbeye, Kata ya Isongole.
Katika ziara hiyo Haniu ameagiza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu kufanya kazi kwa bidii ili...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi.
Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k
JE, HII INARUHUSIWA MAANA NI...
Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro
Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,
Special functions zaidi ya 30
Active test
Immobilizer and Key Programming
Bidirectional
Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet.
Software yake ni 500,000...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Chalinze kujionea kinachoendelea kwenye mchakato huo.
Baada ya kutembelea mradi Dkt. Biteko ameweka wazi kuwa mradi huo umefikia Asilimi 84 na unatarajiwa kukamilika...
Msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo umesimamishwa na wananchi wa Msia, Kata ya Milepa, Jimbo la Kwela mkoani Katavi ili kufikisha kero yao ya umeme na barabara.
Wananchi hao wamesimamisha msafara huo leo Jumanne, Oktoba 10, 2023 wakati Chongolo na Katibu wa...
Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini.
Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike.
Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
Ni miaka takribani sita tangu mradi wa umeme kwenye baadhi ya vijiji vya kata za Kagoma wilayani Muleba upite lakini wananchi walio wengi mpaka sasa hawajaunganishiwa umeme. Vijiji vilivyoathirika zaidi ni kijiji cha Manyora, Katwelelo na Muyenje.
Kijiji cha muyenje kiliathirika zaidi kwa...
Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu.
Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme?
Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
MHE. DKT. BITEKO AWASHA UMEME KIJIJI CHA NTANGA NA KASHARAZI - NGARA
✔️ AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA WA KUWASHA UMEME VIJIJINI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imejumuisha kuwasha umeme katika baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.