umeme

  1. S

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Manispaa ya Dodoma tu au maeneo mengine ya nchi

    Manispaa ya Dodoma tangu saa 11 umeme umekatika na kila nilikopita kote hakuna umeme (Area C, Area D, town centre, Ipagala, kisasa, Ilazo, Ihumwa na maeneo mengine). Wenzetu mlioko mikoani na maeneo mengine ya mkoa wa Dodoma, umeme upo?? Hivi hii SGR kwa umeme huu itakuwaje?
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapata ladha kidogo ya mgao wa umeme jana 10/12/2023

    Jana Jumapili jioni 10/12/2023 Kenya ilikumbwa na mgao ulioathiri nchi nzima na kusababisha huduma kusimama katika sehemu zote za nchi. Tatizo hilo lilianza majira ya saa mbili usiku na ilikuwa ni mara ya tatu kutokea likiathiri nchi nzima katika miezi mitatu iliyopita Miongoni mwa taasisi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  5. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Nahisi tunadanganywa sana kuhusu kiasi cha umeme kunachozalishwa nchini

    TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme. Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi...
  6. Rabama

    JamiiForums Tanzania Friji la Kisasa Linalo Tumia umeme Kidogo (Hotpoint)

    👉🏻Lina mfumo wa OXYGEN unaofanya vyakula, mboga na matunda n.k visipoteze LADHA yake halisi hata ukiviweka kwa mda mrefu. 👉🏻Lina Touch Display inayo onyesha Temperature unaweza chagua ligandishe Kwa mda mfupi, mrefu au kupoza 🙏Bei yake 495,000/= Naliuza kwa sababu na shida Piga simu leo 0713...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  8. Bengal

    JamiiForums Tanzania Zipi sababu za mgawo wa umeme usioisha Tanzania

    Wanajukwaa,habari za wakati huu baada ya harakati za kutwa nzima ama za utumishi wa jamii, kujitafutia mlo wa siku ama kuzitafutia familia mahitaji ya kila siku. Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tuu buheri wa afya. Pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto mbalimbali, iwe ni za kiafya, kijamii...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tunaitaji kujua sababu ya Mgao wa Umeme hata kipindi hiki cha mvua

    Kama Mtanzania nayeguswa na jinsi wananchi wanavyoteseka kwa mgao wa umeme ususani kwenye sekta ya wajasiliamali wadogo ( Welding/wanausika na aluminiam, viwanda vidogo vya kushona, saluni za kike/kiume, wachuuzi wa samaki, na wengine kibao) inatia huzuni kwa kweli. Unajiuliza kweli hii shida...
  10. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power. Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka. Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

    Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu. Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Mvua za kujaza mabwawa ya umeme ndo nitabiriwa kuanza kuanzia Desemba 1?

    Tahadhari mvua kubwa mikoa saba nchini Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Morogoro na Mtwara yanatarajia kupata mvua juu ya kiwango kwa siku mbili kuanzia leo Desemba 1, 2023, hivyo wakazi wa maeneo hayo wameombwa kuchukua tahadhari. Hiyo ni...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Katikakatika ya Umeme na Uhaba wa mafuta yamtia kikaangoni Majaliwa mbele ya Wajumbe wa NEC, ashusha rungu kwa Mawaziri husika

    === Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si mara kwa mara na changamoto ya bei ya mazao ya kilimo. Pia, katika kikao cha NEC kilichofanyika...
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  15. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanakata umeme kila siku Masaki kuanzia saa 12 jioni

    Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao. Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kukosa umeme kutwa nzima kwa siku kunaathiri vipi shughuli zako za kujipatia kipato?

    Wakuu, Tunajua "Upungufu wa Umeme" bado upo, na ratiba inafuatwa vilivyo! Wengi wetu shughuli za kutupa michuzi ziko mchana na kwa kiasi kikubwa zinategemea umeme. Hii inafanya kukosekana kwa umeme kwa siku nzima kutupa hasara kubwa na kwa namna fulani kuturudisha nyuma kwenye harakati zetu...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme

    Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii. Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiongozi ajivunie umeme kuwa wa mgao?

    Umeme kuwa wa mgawo katika nchi kunakimbiza wawekezaji na kuua biashara za watu ikiwemo mitambo. Katika hali ya kawaida na katika kulinda taswira ya uwekezaji nchini si Busara kiongozi kutoka adharani na kujitetea kuhusu umeme kukatika. Busara na hekima za kiongozi nikujifungia na safu yake na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  20. Exile

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mvua zimeleta athari katika miundombinu ya umeme

    TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu. Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema...
Back
Top Bottom