Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
942
Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi.

Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kufanya Mikutano ya Hadhara Kata ya Makame katika Vijiji vya Makame, Katikati na Irkiushibor na kukagua miradi mbalimbali ya Kisima cha Maji, Josho, Zahanati, Shule ya Msingi na kusikiliza kero za wananchi

Katika ziara yake, wananchi wa Kijiji cha Katikati na Irkiushibor kila Kijiji kimoja wamemzawadia Mbunge wao, Edward Ole Lekaita Ng'ombe Wawili, Jike na Dume huku wakimshukuru kwa huduma nzuri za Maji, Zahanati na Umeme.

WhatsApp Image 2023-11-22 at 06.30.41.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-22 at 06.30.42.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-22 at 06.30.43(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-11-22 at 11.02.44(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-11-22 at 11.02.43(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-11-22 at 11.02.43.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-22 at 10.56.40.jpeg
 
Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi.

Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kufanya Mikutano ya Hadhara Kata ya Makame katika Vijiji vya Makame, Katikati na Irkiushibor na kukagua miradi mbalimbali ya Kisima cha Maji, Josho, Zahanati, Shule ya Msingi na kusikiliza kero za wananchi

Katika ziara yake, wananchi wa Kijiji cha Katikati na Irkiushibor kila Kijiji kimoja wamemzawadia Mbunge wao, Edward Ole Lekaita Ng'ombe Wawili, Jike na Dume huku wakimshukuru kwa huduma nzuri za Maji, Zahanati na Umeme.
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Mungu mbariki kiongozi wetu huyu, mzalendo, shupavu, msikivu na madhubuti, ambae watanzania wote tunampenda sana Dr. Samia Suluhu Hassan.
 
Mtoa hoja labda ni ujinga sio upumbavu, President anatekeleza sera za Chama chake, hii ni serikali ya CCM SIO ya President SSH, na pia President hakupi wewe favour ni wajibu wake kufanya hayo, hii fedha ni kodi yetu na sio fedha binafsi za President, na elewa fedha hizi lazima ziwajibishwe na bunge
 
Elimu! Elimu! Elimu!
Hata kwenye dini zetu watu wanawaabudu viongozi wa dini kuliko MUNGU!

#Homo_idioticus_phase
 
Back
Top Bottom