Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.
View attachment 2814684
Sasa sio kutangazia watu hii mikwala. Tunataka tu kusikia nani kawajibishwa na mashine ifanye kazi. Sio kutangaza haya mambo alafu wahusika wanadunda tu. Wasifanye siasa na umeme
 
Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.
View attachment 2814684
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wapeleke upumbavu wao huko. Nchi inaongozwa na maneno ya vitisho mpaka tumbuli wameshatudharau.
 
Biteko: 65% ya umeme tunatumia gesi, lakini kuna mashine miaka 2 haijatengenezwa. Nakuja TANESCO

Menejimenti ya TANESCO tunatakiwa tupate viongozi wanaojua tatizo la umeme.
View attachment 2814684
TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
 
Sawa muheshimiwa sasa je kosa ni la nani la kusababisha Mashine isitengenezwa kwa Miaka 2 ?
Tanesco mikoani ndiyo wamejisahau kabisa umeme unakatika zaidi ya masaa 12 kwa tatizo ambalo Kama wapo serious haiwezi kuchukua masaa mengi kihivyo .
Tanesco muwe na mazoea ya kufanya kazi usiku sio tatizo likitokea usiku unaambiwa wafanyakazi wamelala , musifanye kazi kimazoea.
 
Dah hii sasa shida. Mlisema Beans ndo shida mkamtoa tukapiga makofi sasa malalamiko tena yameanza upya!
 
Wakati wa ujamaa na kujitegemea,rostam alikua kijana mdogo akizurura mbugani igunga,lakini tulivaa viraka
Hata wazungu kipindi hicho wao pia walikuwa awana smartphone nk hivyo tumia akili ...sisi tunazungumzia waujumu uchumi nyerere kapewa nchi mbovu na mkoloni ....kutoka dar hadi morogoro ni sawa sawa na kutoka dar hadi Kinshasa...watu walikuwa hawana elimu yoyote ...zaidi ya asilimia 80 walikuwa awajui shule ni nini baadhi tu walifika darasa la 4

KUHUSU HUYO JAMBAZI AZIZI HATA BWANA R. MENGI ALIWAHI KULALAMIKA KWA KUZUIWA KWENYE SECTA YA GESI ALIYEFANYA HIVYO NI ROSTAM NA GENGE LAKE LENGO NI KUAKIKISHA HIYO SECTA YA GESI KUSIWE NA MZAWA MWENYE NGOZI NYEUSI YOYOTE ILI WAWEZE KUTUNYONYA MANYANI
 
KIPARA keshatolewa na beans 🫘 sasa anatafutwa mwingine wa kumuangushia jumba bovu japo naamini suluhu bado hapo Tanesco
 
Mkuu inaonekana una chuki binafsi na Ndugu Rostam Aziza kiasi cha kutaka auwawe. Ili tukuelewe, tuwekee jinsi Rostam anahusika moja kwa moja na changamoto aliyoitaja mh. Naibu waziri mkuu, ndugu Biteko.
 
TATIZO NI ROSTAM AZIZI HUYU ASIPO ULIWA KAMWE HII NCHI HATUWEZI TOBOA...NILAZIMA TUTESEKE ....GENGE LA WAMILIKI WA GESI NDIYO WANAO KWAMISHA HII NCHI
Hii inahitaji nchi iwe na wazalendo wa kweli.
Kuna watu walishajimilikisha hii nchi na kwa njia ya kawaida hatuwezi kuwaachisha kutunyonya.
Ni ama Mungu aingilie kati ama tutumie njia uliyopendekeza.Lakini,njia uliyopendekeza siyo muafaka kwani tunaweza kujikuta tuna hukumu watu waaminifu waliobambikiziwa tuhuma mbaya na hawa hawa mafisadi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom