kishegheni
Member
- Mar 6, 2012
- 21
- 85
Jamani wenzenu huki Masaki TANESCO wanakatiwa umeme Kila siku ikifika saa 12 jioni mpaka saa 6 usiku . Ukipiga simu wanakuanbia ni mgao.
Hivi ni mgao gani Kila siku usiku Kwa hiyo sisi tukitoka kazini hatutakiwi kuwa na umeme. Tunatoka asubuhi tunaenda kazini tukirudi tunakuta Giza Kila siku, jamani tuoneeni huruma huruma na sisi tuna haki huruma
#TANESCO mlaaniwe