Ukosefu wa nishati ya umeme

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
380
763
Tuliaminishwa kuwa ukosefu wa umeme unatokana na ukame wa muda mrefu hivyo mgao wa umeme utaendelea kuwepo.

Wiki chache zilizopita mvua zimeanza kunyesha mito, mabwawa yamejaa maji lakini cha kushangaza bado tatizo liko palepale.

Tumemchagua Mhe. Biteko (mchapa kazi) kusimamia Wizara ya Nishati na bado matatizo yako pale pale. Hapa Mwanza ni jambo la kawaida umeme kukatika hata masaa manane iwe machana au usiku.

Nawashauri utawala wa CCM mjitathmini suala la umeme litakuja kuwatoa madarakani.
 
Yani uku kwetu kigamboni, imekuwa kawaida tu. Kila siku haijatokea tukapumzika. Ikifika saa moja usiku umeme unakata paap, tukutane saa sita usiku. Hadi inachosha.
 
Back
Top Bottom