umeme

  1. Wizobaby

    JamiiForums Tanzania Jokofu (Friji) gani linatumia umeme kidogo na inawahi kupoza?

    Mwanzo nilikuwa natumia super general. je, bado zipo sokoni Kwa Dar? zinapatikana maeneo gani? Je, kuna fridge nzuri zaid ya super general
  2. Transistor

    JamiiForums Tanzania Taa za umeme za LED huleta nafuu katika bili ila ni hatari kwa afya

    Heri ya mwaka mpya wakuu, Taa za LED zimepata umaarufu miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa na mwanga mkubwa huku ulaji wake wa umeme ukiwa ni kidogo. Licha ya faida hiyo kutokana na tafiti mbalimbali taa za LED,zimeonekana kuwa na madhara kiafya,licha ya wataalamu wanao unda taa hizi...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ukerewe yalalamikia bei kubwa ya umeme, wananchi wanalipa 2,500 kwa unit 1 ya umeme

    Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani ametoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuhakikisha anafuatilia gharama za umeme zinazotozwa kwa wananchi wa kisiwa cha Ukerewe mkoani humo. Imeelezwa leo bungeni kuwa Watumiaji wa umeme katika Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa...
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

    Kichwa cha habari kinajitoshereza. Naomba wataalamu wa umeme mnisaidie. Ni ukubwa wa nyumba kwa kiwango gani nalazimika kutumia 6 ways badala ya 4 ways main switch (single phase)?
  5. Van classic

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji fundi umeme

    Kwa mahitaji ya kufanyiwa installation kuanzia awamu ya kwanza hadi awamu ya finishing. Bei zangu huwa ni rafiki sana kwa mkoa wa Dodoma ndiyo rahisi zaidi kukutana. Namba zangu za kazi ni 0752768907
  6. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa Solar nisaidieni kuhusu inverter

    Heri ya mwaka mpya wakuu.. Kuna fundi kamfungia bi mkubwa solar, tangu tarehe 30 December Sasa taa zinawaka ila inverter inawasha taa nyekundu na kupiga alarm. Fundi aliwaahidi kuwa jua likiwaka hali itakuwa shwari. Ila hali bado ni ile ile. Inverter ina 1000W batteries mbili za 12V. Kwenye...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kuwawekea umeme wa REA wananchi Masikini kwa kutumia Mabavu

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile. Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti

    Mh Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti ukiuliza swala la umeme wa rea unaambiwa kijiji chetu hakipo kwenye mpango wa rea hapo hapo mtendaji wa kijiji anasema andikeni majina ya watu ambao hawana umeme. Zaidi sana Binafsi nilishafanyiwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu 'shoti' ya umeme

    Nilipigwa na shoti ya umeme ya nguvu tu siku moja katika harakati za kurekebisha hili na lile. Ajabu ni kuwa nilisikia kama mtu kanipiga rungu la kisogoni kiasi kwamba ilinilazimu kabisa kugeuka nyuma ili nione kama kuna mtu kafanya hivyo. Nilipowahadithia wenzangu(wale waliowahi kukumbana na...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani aitaka TANESCO kubaini vyanzo vipya vya umeme

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tarehe 18/12/2019 Masasi umeme wawaka 24 hours

    Hii ni habari ya kweli kwa mara ya kwanza katika mji wa Masasi umeme umewaka 24 hours pasipo kukatika. Mji wa Masasi wakazi wake walikuwa wakiteseka na kupata shida ya umeme mpaka hivi majuzi walipoungwa kwenye gridi ya taifa. Leo watu wa Masasi wamefanya kazi zao toka asubuhi mpaka jioni...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unadanganywa; Umeme wa REA haujawafikia wananchi wengi vijijini

    Niko natembelea ndugu zangu walioko pembezoni mwa miji kadhaa ambao vijiji au tuviite vitongoji au mitaa katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, cha kushangaza havina umeme. Viongozi wengi wamekuja na kupiga uongo eti wanaletewa umeme wa REA awamu ya tatu ni mwaka wa tano...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
  14. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania South Africa: Rais amekatisha ziara kwa sababu ya mafuriko na kukatika kwa umeme

    chanzo DW mchana wa leo Pametokea mafuriko huko SA. Hali hiyo imepelekea nchi hiyo kukosa umeme kwa siku tatu mfululizo. Kwa kuona na kwa kujali wananchi wake, raisi wa huko amekatisha ziara yake nje ya nchi kuja kuungana na wananchi wake kukabiliana na hali hiyo. Ametoa siku tatu kuikabili...
  15. Aahm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Mtwara tupewe Taarifa

    Kwa muda wa miezi kadhaa sasa pamekuwa na ukatikaji wa Umeme kwenye baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kama vile Mikindani, Msijute mpk Mpapura, wananchi hawaelewi tatizo ni nini, kwa siku Umeme unakatika zaidi ya Mara 6,Mh Waziri tunaomba msaada wako,isitoshe gesi inazalishwa hapa hapa
  16. Lawrance franci

    JamiiForums Tanzania Jipatie mashine zote kwetu

    *DOT MACHINERY PRODUCTS* TUNAUZA MACHINE ZA UJENZI|VIWANDANI|MAJUMBANI|KILIMO|USAFI| CAR WASH MASHINE INAYOTUMIA DIESEL-2.5M BOTTLE JACK KUANZIA 100,000/= - 300,000/= MASHINE YA KUPUKUCHULIA MAHINDI-YA UMEME 1.2M YA DIESEL 1M JACK YA KUBEBEA MIZIGO KUANZIA 2.9M-3.7M GENERATOR YA 6.5KW,YA...
  17. MZK

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Waziri wa Nishati Dk. Kalemani katika mradi wa umeme Rusumo, waulize NELSAP-CU ziko wapi bilioni 70 (US$ 32 Million) RAP, LADP na ESMP?

    Mawaziri wa wanaohusika na Nishati wa Tanzania, Burundi Na Rwanda Ijumaa ya Tarehe 6 December 2019 wanatarajia kuzuru mradi wa Umeme wa Maporomoko ya Mto Rusumo. Mradi huu unatekelezwa na ubia wa Nchi hizi Tatu kwa Mkopo wa Takribani dola za Marekani Milioni 500 ili kuzalisha 80MW ambazo ni...
  18. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania KERO: Umeme wa kununua kwa zamu na nyumba za kupanga ni janga

    Wakuu, nimepita sehemu hii jioni kuna ugomvi mkubwa kisa ni zamu za umeme, kiukweli hizi luku ni nzuri kama wapangaji wako wachache na wanaelewana vinginevyo ni majanga. Hivi haiwezekani kila mpangaji akawa na mita yake kama vile switch? Mabachela inakula kwao zaidi wanaotoka asubuhi kurudi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco Tegeta lazima kuna jipu. Mnakata umeme zaidi ya saa 20 mara kwa mara

    Jamani mpaka inaboa, umeme wanakata masaa 20 ukipiga nguzo imeanguka, haya mara kuna tatizo linashughulikiwa . Haiwezekani maeneo hayohayo yakapata matatizo ndani ya wiki moja. Vitu vyetu vinaharibika. Lazma kuna uzembe. Tunaomba meneja wa kituo cha TANESCO Tegeta ajitafakari. Miundombinu ya...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza taa za mwanga barabarani na nyaya za simu zifungwe kwenye nguzo za umeme

    Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno. Pia badala ya kusimika mistimu ya...
Back
Top Bottom