Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,406
- 3,363
TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.
Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Source swahili times
NB: Lakini hii ni aibu kwa taifa na TANESCO maana TANESCO hawataki masika hawataki kiangazi. Mnapata wapi nguvu za kuitetea CCM