ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Urusi yafungua ubalozi nchini Burkina Faso baada ya miaka 30

    Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo. Ufaransa ililaani mapinduzi ya Burkina Faso pamoja na katika Nchi jirani za Mali na Niger. Hatua hiyo...
  2. Roving Journalist

    Wawasilisha Barua Ubalozi wa Ujerumani wakitaka walipwe fidia kutokana na Babu na Bibi zao kuteswa wakati wa Ukoloni.

    The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni. Kupitia taarifa yao...
  3. Mhaya

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  4. Webabu

    Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

    Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq. Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
  5. M

    Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
  6. ChoiceVariable

    Denmark yatangaza kuendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Ilipanga kuufunga ifikapo 2024

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ametangaza kwamba Denmark itaendelea kuwa na Ubalozi wake nchini Tanzania. Kuhusu Denmark kufunga ubalozi wake, soma >Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024 Ujumbe wa Balozi wa Denmark nchini Tanzania. --...
  7. M

    Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

    Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
  8. YEHODAYA

    Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  9. BARD AI

    Norway kufunga Ubalozi wake nchini Uganda

    Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni. Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa mabadiliko kadhaa yanaendelea katika uwepo wa kidiplomasia wa nchi hiyo nje ya nchi. "Kuzingatia na...
  10. JanguKamaJangu

    Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

    The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
  11. R

    Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

    Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka. Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru. Amechanga karata na huku tuendako...
  12. Analogia Malenga

    Ubalozi wa Marekani wasema wapo na JF kwenye kukuza Citizen Journalism

    Ubalozi wa Marekani ni wageni kwenye sherehe ya kutoa tuzo za Stories of Change, Balozi Battle ametoa hotuba nzuri.
  13. R

    Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

    Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini. Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA...
  14. R

    Humphrey Polepole anafanya kazi ya Ubalozi hasa! Anatafuta fursa kwa nchi. Kwa hili, nampongeza

    Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha. Msikilize hapa kwenye video clip hii
  15. Stephano Mgendanyi

    Ujumbe wa Tanzania Watembelea Ubalozi Misri

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA UBALOZI MISRI KATIKA KUPIGA KURA NCHI MWENYEJI MASHINDANO YA AFCON 2027 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 25, 2023 ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Ubalozi Cairo nchini Misri kabla ya siku ya...
  16. peno hasegawa

    Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

    Ninasikitika sana! Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau? Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana. Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani...
  17. DELETED ACCOUNT

    Hili bango karibu na Ubalozi wa Ufaransa limenifikirisha

    Juzi nilipita maeneo ya karibu na Ubalozi wa Ufaransa nikaona bango moja limeandikwa "Kifo cha Imam Husain kinatukumbusha umuhimu wa Uhuru". Huwa nina kawaida nikiona mabango ya dini napendaga kufuatilia zaidi maandiko yale hasa kama kuna ujumbe ambao umenigusa wakati huo. Ila kuna kitu zaidi...
  18. BARD AI

    Vitu atakavyokosa Dkt. Slaa baada ya kuvuliwa Ubalozi

    Baada ya Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa hadhi ya Ubalozi Septemba 01, mwaka huu na Rais Samia Suluhu Hassan, wengi wamejiuliza juu ya vitu gani ambavyo Dkt. Slaa atavipoteza baada ya hadhi hiyo kuondolewa. Mhadhiri kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam, Godwin Gonde ambaye amefafanua kuwa hadhi...
  19. Pascal Mayalla

    Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ipo haja ya viongozi wetu kujali maslahi ya umma na si kujali maslahi yao na koo zao baada ya kustaafu uongozi!

    Wakuu Kama Dp world imeyeyuka rasmi baada ya tamko la Tec na wanaharakati mbali mbali kupiga kelele it's obvious kwamba mhanga wa hayo yote ni Dr slaa KWA KUWA msemaji mkuu wa kelele hizi nchini!! Gubu la mfaidikaji mkuu wa kandarasi hiyo limeamua kumtafuna Ili kupoza machungu ya kukosa ugali...
Back
Top Bottom