Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
CCM imezalisha vijana wa hovyo sana
Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi
Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa’ar ataondoka leo (Jumanne) kwa ziara ya kidiplomasia barani Afrika, ambapo atazindua Ubalozi wa Israel nchini Zambia. Akiwa nchini Zambia, Waziri Sa’ar atakutana na Rais Hakainde Hichilema, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mulambo Haimbe, na...
1. Dk Wilbroad Slaa
2. Humphrey Polepole
3. Marehemu Kasanga Tumbo
4. Marehemu Kasela Bantu.
5.....
Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
Wengi hawajui ugomvi wa Polepole na Samia unatoka wapi!
Ni hivi. Ili Polepole aachie ubunge, alipewa ubalozi kwa kipindi sawa na cha ubunge, ambapo ubalozi wake ungekoma, mara baada ya bunge kuvunjwa.
Kwa hiyo Polepole kujiuzulu ilikuwa ni kulia timing asije akakaa hadi astaafishwe, Jambo...
Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa).
Utaratibu uliopo...
Anonymous
Thread
katika
kusafiri
mahojiano
maombi
marekani
tanzania
ubaloziubalozi wa marekani
upande
utaratibu
vibali
Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala).
Vilivyokamatwa:
Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12)
Rs 44 lakh taslimu, sarafu za...
Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa kisiasa alipokuwa katika utumishi wake pale Cuba, huyu sio yule Polepole mchelemchele. Huyu wa sasa ni...
Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili
1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili
2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu..
Kama ni kweli, kwanini ?
I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama.
Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72.
Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stockholm - Sweden
Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani
Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 52 Sunday Sundbyberg
Tarehe: Julai 5, 2025
Muda: Saa 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni
Burudani: Saa 1:00 Jioni - Saa 4:00 Usiku
Australia yafunga ubalozi Tehran yawaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake za ubalozi wa Tehran, Australia imefunga ubalozi wake wa Tehran na kuamuru maafisa kuondoka Iran, serikali inasema, ikitoa "hali ya usalama inayozorota." Inaungana na msururu wa...
Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani.
Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.
Kumbukumbu yao iwe baraka.
Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu.
Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.