Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936

Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani.

Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta.

Jinsia na umri wa mtu huyo bado haijawekwa wazi.
Mlinzi aliyejaribu kuingilia kati tukio hilo pia alijeruhiwa.
Kulingana na polisi, mwandamanaji huyo alifika katikaubalozi huo mdogo hicho saa 12:17 kwa saa za ndani (17:17 GMT).

"Tunaamini jengo hili ni salama na hatuoni tishio lolote hapa," Mkuu wa Polisi wa Atlanta Darin Schierbaum alisema. "Tunaamini hiki kilikuwa kitendo cha maandamano ya kisiasa."

Mlinzi huyo aliungua kwenye kifundo cha mkono na mguu, Mkuu wa Zimamoto wa Atlanta Roderick Smith aliwaambia waandishi wa habari.

Mwandamanaji na mlinzi walipelekwa hospitali na wanaendelea na kupata nafuu.

Katika taarifa,Naibu balozi wa Israel kusini-mashariki mwa Marekani, Anat Sultan-Dadon, alisema kuwa ujumbe wa kidiplomasia "unasikitishwa na tukio mtu kujichoma moto kwenye lango la jengo la ofisi".

"Inasikitisha kuona chuki na uchochezi dhidi ya Israeli ukionyeshwa kwa njia ya kutisha," aliongeza kusema.
 
Attachments

  • 1701505885361.gif
    1701505885361.gif
    42 bytes · Views: 2
Bora gaidi hilo lingejiua peke yake lingepungua duniani,maana hayakawii kuua wasio na hatia kwa kujilipua na mabomu.
Katika taarifa,Naibu balozi wa Israel kusini-mashariki mwa Marekani, Anat Sultan-Dadon, alisema kuwa ujumbe wa kidiplomasia "unasikitishwa na tukio mtu kujichoma moto kwenye lango la jengo la ofisi".

"Inasikitisha kuona chuki na uchochezi dhidi ya Israeli ukionyeshwa kwa njia ya kutisha," aliongeza kusema.
 
Katika taarifa,Naibu balozi wa Israel kusini-mashariki mwa Marekani, Anat Sultan-Dadon, alisema kuwa ujumbe wa kidiplomasia "unasikitishwa na tukio mtu kujichoma moto kwenye lango la jengo la ofisi".

"Inasikitisha kuona chuki na uchochezi dhidi ya Israeli ukionyeshwa kwa njia ya kutisha," aliongeza kusema.
Magaidi siku zote yana chuki na ndio maana linakubali kufa na wasiohusika.Hilo ni gaidi na ilibidi waliongeze na risasi likufilie mbali.
 
Jiulize sasa huyu mtu angefanikiwa kuipata AK 47 ni nini kingetokea

Maana mtu kama huyo ameshajazwa makushabo ya aya shetani kuwa kuna bikira 72 zinamsubiriwa kwa bashasha.
 
No mara waaa, siwezi kujiua.

Maisha matamu hivi nimuachie nani? Mungu apende mwenyewe sio kwa mimi kujichumia dhambi.
 
Back
Top Bottom