Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.

Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
Screenshot_20231218-140734_1.jpg

Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.

Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya
 
Ulitarajia ubalozi wa magaidi wa Hamas watoe pole?
At least wajitetee... Yani tumepa Ubalozi, tumeitambua Palestina kama Nchi lakini wao hata ubalozi wao kusema pole hawasemi, hata kubembeleza Hamas wawaachie Watanzania hawataki...

Israel tumewasusia kitambo, mpaka wakafunga Ubalozi wao hapa Tanzania, ila bado likitokea jambo kuhusu watanzania, wanakuwa mstari wa mbele kutoa taarifa
 
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.

Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
View attachment 2845971

Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.

Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya
Muwe mnatumia akili anachojaribu kufanya huyo muisrarl ni kuwademonize hamas ila hatofanikiwa maana jumuia ya kimataifa inafuatilia kila kitu hata mbo wanayojaribu kuyaficha , hao israel wameua hadi raia wao kwa kudhania ni wapalestina wakati walikuwa wakiomba msaada waokolewe , juzi wameua wanawake wawili kanisani bila ya sababu bado unaona waisrael ni watu wa maana? Hadi sasahivi familia ya joshua wala any credible source ikiwemo wizara ya mambo ya nje ya tanzania haijathibitisha wewe unakimbilia na habari za udaku
 
At least wajitetee... Yani tumepa Ubalozi, tumeitambua Palestina kama Nchi lakini wao hata ubalozi wao kusema pole hawasemi, hata kubembeleza Hamas wawaachie Watanzania hawataki...

Israel tumewasusia kitambo, mpaka wakafunga Ubalozi wao hapa Tanzania, ila bado likitokea jambo kuhusu watanzania, wanakuwa mstari wa mbele kutoa taarifa
Taarifa watakazokupa ni za kufanya uwachukie hamas ziwe za kweli au za uongo kama walivyozoea
 
Muwe mnatumia akili anachojaribu kufanya huyo muisrarl ni kuwademonize hamas ila hatofanikiwa maana jumuia ya kimataifa inafuatilia kila kitu hata mbo wanayojaribu kuyaficha , hao israel wameua hadi raia wao kwa kudhania ni wapalestina wakati walikuwa wakiomba msaada waokolewe , juzi wameua wanawake wawili kanisani bila ya sababu bado unaona waisrael ni watu wa maana? Hadi sasahivi familia ya joshua wala any credible source ikiwemo wizara ya mambo ya nje ya tanzania haijathibitisha wewe unakimbilia na habari za udaku
Kwa hio wanaua Mwafrika alafu wanasema Allahu Akbaru au sio? Umeangalia ile video wanavyommimia risasi na jamaa kashakufa baada ya kupiga bisu la tumbo au unabwatuka tu? Umeona walivyokua wanamzongazonga kabla ya kumuua?
 
Muwe mnatumia akili anachojaribu kufanya huyo muisrarl ni kuwademonize hamas ila hatofanikiwa maana jumuia ya kimataifa inafuatilia kila kitu hata mbo wanayojaribu kuyaficha , hao israel wameua hadi raia wao kwa kudhania ni wapalestina wakati walikuwa wakiomba msaada waokolewe , juzi wameua wanawake wawili kanisani bila ya sababu bado unaona waisrael ni watu wa maana? Hadi sasahivi familia ya joshua wala any credible source ikiwemo wizara ya mambo ya nje ya tanzania haijathibitisha wewe unakimbilia na habari za udaku

MAKAFIR WA BONGO WAO ISRAEL NI TAIFA TEULE LA MUNGU,DAMU YA ISRAEL NI TAKATIFU,CHOCHOTE WANACHOSEMA ISRAEL WAO NI SAWA.

HATA UBALOZI WA PALESTINA WAKISEMA KUW MAUAJI HAYO HAWAHUSIKI NAYO AU HAMAS WAKIKATAA KUHUSU HILO WAO HAWAWEZI KUKUBALI,AJABU TAARIFA YA MAUAJI IMETOKA KWA WAPINZANI WA HAMAS UTAWEZA VIPI KUIAMINI??
 
Back
Top Bottom