ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mawasiliano ya Makerere University au Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda?

    Habari zenu wakuu. Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu. Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi alishindwa Uwaziri ameshindwa Ubalozi tutampeleka wapi?

    Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa. Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote alilofanikiwa kwenye Wizara hiyo na baada ya kumuunga mkono Lowasa chama kikamkataa. Akazunguka kidogo Kwa...
  3. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

    Naona mheshimiwa Rais leo amemuapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Brazil. Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Nchimbi. Amestaafu au nin kimetokea? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Wetu DC...Pasipoti Yangu...

    Kwa kweli nimetiwa moyo na weledi, haraka, na utendaji ulioweza kufuatiĺia Hati ya kusafiria ya mdogo wangu Mange aka Damdogo. Licha ya kuchelewa kurenew lakini mambo ya ndani wameweza kushughulikia Hati yake kwa haraka. Na mimi nilishakamilisha kila kitu ili kupatiwa Hati yangu ya kusafiria...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    Tunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi. Cha kushangaza vilevile pamoja na viongozi wa...
  6. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania

    *Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa Ubalozi wa China Tanznia, tunaomba majibu kwa nini ndani ya China mnawafundisha watoto wenu kufanya ubaguzi dhidi ya watu weusi

    Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania Naamini huu ujumbe utakufikia Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki. Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
  8. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Ajira: Ubalozi wa UK, Receptionist. Mshahara Tsh 1.5M+ kwa Mwezi

    Receptionist A1 (04/21 DAR) - Maternity Cover The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nasikia katimuliwa ubalozi Azam

    Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam Media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa zao atumie platform hiyo kutukana bidhaa za MO maana ndiyo style yake utasikia nipo na boss wa Asas...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yafunga Ubalozi wake Nchini Algeria

    Serikali ya Ethiopia imefunga Ubalozi wake uliopo Algiers Nchini Algeria, ikiwa ni hatua ya kupunguza gharama za majukumu yake ya Sera za Kigeni Ubalozi wa Ethiopia Nchini humo umesema uamuzi uliochukuliwa unaweza kubadilika siku za usoni ikiwa hali ya Uchumi ambayo pia imeathiriwa na janga la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

    Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza kusikitishwa na uamuzi wa Denmark kufunga ubalozi wake

  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

    Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024. Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

    Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano. Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu...
Back
Top Bottom