Rais Samia unasubiri nini kufunga Ubalozi Israel?

We mpuuzi kweli, hiyo ni sauti ya kwako siyo watz.

Yaani mambo yao sisi yanatuhusu nini, acha wauane tu kwani kipindi wanachokozana ulikuwepo?...na hata tukifahamu haitotusaidi lolote, hebu shika jembe ukalime

Na ukishindwa ..Kaa chini subiri atakayekubali kushindwa mpe maji anywe.
 
Kwani tulishawahi kufunga ubalozi wa Russia hapa Tanzania?

Ya ngoswe tumuachie ngoswe, sisi tudeal na mambo ya Burundi, Somalia, DRC, Sudan, Eritrea.
Yeah, tuna kiherehere Hadi tunatia kinyaa! Umemjibu vyema sana! Tuna mijizi imeiba trillions za kutosha na hakuna anayenyanyua mdomo, tuko bize na Palestine na Israelites, Tena ambao ni Ndugu
 
Kwani walitumwa wakapigane🤔 hata wakipigwa wakafa wote hakuna madhara yoyote tunayopata kama nchi kiherehere cha nini sasa🤔 ugomvi wao hautuhusu hata thumni ya nini kujihusisha nao, ni hao hao wapuuzi walimsaliti mwalimu Nyerere kwenye vita ya kagera baada ya mwalimu kuwaamini na kuwatimua Israel, hiyo vita ni yao watajuana wao wenyewe 🤔 Sauti ya watanzania ya nyokoooooo
 
Rais Samia rudisha Balozi nyumbani mara moja, na kama wao wanayo wa kwao hapo kwetu timua hii ni sauti ya Watanzania.
wewe punguani, hata sisi tunashangaa anasubiri nini kufunga ubalozi wa palestina hapa nchini, ubalozi ambao hauna faida yeyote kwa nchi. tunafaidika nini na palestina tangu waweke ubalozi hapa zaidi ya wao kufaidika kwetu kwa kutuomba tupinge israel? ishi ukijua wakristo Tanzania tunasapoti israel na usitulazimishe tupende palestina.
 
Huyo jajui Israel ni nani, hata kule kupiga Kura in favour of Paresina tumefanya kosa, ugonvi wao ni wa jadi walikuwa wanatikisa kiberiti waone kama kimejaa, tu waache wakichoka wataheshimiana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom