ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Australia yafunga ubalozi Tehran yaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake zor ubalozi wa Tehran,

    Australia yafunga ubalozi Tehran yawaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake za ubalozi wa Tehran, Australia imefunga ubalozi wake wa Tehran na kuamuru maafisa kuondoka Iran, serikali inasema, ikitoa "hali ya usalama inayozorota." Inaungana na msururu wa...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

    Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wetu Brussels na harakati za Chadema Ubelgiji

    Kumekuwepo na harakati nyingi sana na za muda mrefu za watu wasioitakia mema nchi wanaotumika Kuichafua nchi kimataifa. Tumeshuhudia watu hao wakiwa hosted ndani ya nchi ya ubelgiji. Je ubalozi wetu umechukua hatua gani? KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda asisitiza Ushirikiano kwa Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya viongozi wa Nchi hizo mbili katika masuala mbalimbali. Ametoa kauli hiyo leo Mei 05, 2025, Jijini Harare...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Azberjan

    Habari wakuu Ubalozi wa Azbeijan unapatikana wapi hapa Dar es salaam.
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani walaani Padri Kitima kushambuliwa, walaani vitendo vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu

    TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche afika Ubalozi wa Vatican kutoa pole kufuatia kifo cha Papa Francisko

    Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko. Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

    Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini. Regards, Mlei, Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Urusi nchini Kenya

    Ubalozi wa Urusi nchini Kenya ulipost hii picha Facebook 🤣🤣🤣
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

    MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach. Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti. Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti. Mama endelea hivyo hivyo
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China wabadili utaratibu wa maombi ya Visa

    Kwa wale ambao mara kadhaa tumesafiri ama kuomba visa ya kwenda China, kuna mabadiliko ya kuomba na kupata visa ya China kuanzia tarehe 31 March 2021. Hapo awali ilikuwa tunajaza taarifa zetu online na kisha ku-print ile fomu na kuiwasilisha pale ubalozini pamoja na viambatanishi vingine...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Japani watoa dola 140,103 kwa ajili ya kujenga jengo la darasa katika shule ya Wasichana Sakura jijini Arusha

    Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha. Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

    Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa. Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya...
  19. econonist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Syria wavamia ubalozi wa Iran, Damascus na kuharibu mali

    Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu. Source: Aljazeera
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asante Kwa Uteuzi. Ila Suzan Kaganda kumpa Ubalozi umeteleza, anatakiwa awe IGP

    Salaam Wakuu, Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei. Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa...
Back
Top Bottom