ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

    Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana...
  2. Zanzibar-ASP

    Hadhi ya kuitwa ‘Balozi’ huwa ina faida gani kwa mtu asiyetumikia tena ubalozini?

    Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai kijamii au kumbukumbu za zamani? Je, kuna posho huwa wanalipwa kwa kuwa na hiyo hadhi ya kuitwa...
  3. Jidu La Mabambasi

    Kutenguliwa ubalozi Dr W Slaa: Mnaliona tatizo ninaloliona?

    Dr Wilbroad Slaa ni mpinzani wa siku nyingi, toka kuanzishwa siasa za vyama vingi. Dr Slaa ni kama yule mchezaji katika timu, si wa kutegemewa sana, lakini anaweza kutokea nyuma na kufunga goli la ufundi. Tunaikumbuka List of Shame. Alopoteuliwa kuwa Balozi wengi tulishangaa sana, lakini ndo...
  4. Chachu Ombara

    Mabalozi waliowahi kuvuliwa hadhi ya Ubalozi

    Leo Dkt . Slaa amevuliwa hadhi ya Ubalozi na Rais wa JMT, Samia Suluhu. Dkt. Slaa anaingia katika orodha ya viongozi wengine waliovuliwa hadhi ya Ubalozi. Katika kumbukumbu zangu nakumbuka Profesa Mahalu aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italy alivuliwa hadhi ya Ubalozi baada ya kuwa na...
  5. Erythrocyte

    Ifahamike kwamba hata Kamishna wa sasa wa TRA alivuliwa hadhi ya ubalozi na Magufuli

    Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania. Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu. Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli...
  6. Analogia Malenga

    Unaweza kupata Tsh. bilioni 12.5 ukitoa taarifa za waliolipua Ubalozi wa Marekani mwaka 1998

    Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo. Ooh...
  7. chiembe

    Ushauri: Kwa tuhuma za uhaini, Mamlaka zimvue Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi

    Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii. Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa...
  8. F

    Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana? Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
  9. MK254

    Urusi waondosha maafisa wa ubalozi wa Sudan, sikujua na wao watakimbia

    Kwa vile ni dhahiri Urusi imeshindwa Ukraine na kuhamisha nguvu nyingi kwenye heka heka za Afrika, sikujua na wao hukimbia kikinuka kwenye bara hili............ Russia says it has evacuated staff from its embassy in Khartoum, citing the high security risks to personnel amid the ongoing...
  10. JanguKamaJangu

    Martha Karua atoa wito wa kulipwa fidia kwa Waathiriwa wa Bomu lililolipua Ubalozi wa Marekani Mwaka 1998

    Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio lililotokea Agosti 7,1998 Jijini Nairobi. Ameyasema hayo katika maadhimisha ya miaka 25 tangu kutokea kwa...
  11. ChoiceVariable

    Tanzania yazindua rasmi Ubalozi wake Jijini Algiers, Algeria

    Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
  12. The Assassin

    Iraq: Ubalozi wa Sweden umefungwa sababu ya uchomaji wa Quran nchini Sweden.

    Ubalozi wa Sweden nchini Iraq umefungwa na balozi wa Sweden amefukuzwa nchini Iraq. Sweden imefunga ubalozi huo baada ya waandamanaji kuuchoma moto kwa sababu ya tukio la kuchana chana na kupiga teke Quran lililofanyika nchini Sweden siku ya Alhamisi. Sweden imesema inalaani kitendo cha...
  13. The Assassin

    Sweden: Waandamanaji wachana chana Quran hadharani, Ubalozi wa Sweden Baghdad wachomwa moto

    Waandaaji nchini Sweden wachana chana Quran na kupiga teke Quran hadharani jana siku ya Alhamisi, tarehe 20 July 2023. Waandamanaji hao walitishia kuichoma Quran lakini baadae wakaahirisha na kuchana chana quran hadharani. Hatua hiyo imepelekea mabaloxi wa Sweden kuitwa na kuhojiwa kwenye nchi...
  14. C

    DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

    Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari. Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha. Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe...
  15. MK254

    Urusi yapiga bomu ofisi za ubalozi wa China, Ukraine

    Twende tu hivi hivi. China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said. The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows. Russia, which is...
  16. Artifact Collector

    Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  17. Analogia Malenga

    Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

    Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari. Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi...
  18. Roving Journalist

    Tanzania yafungua rasmi Ubalozi wake Nchini Indonesia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesema kufunguliwa kwa Ubalozi huo...
  19. Nyendo

    Tanzania kufungua Ubalozi Indonesia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi, ikiwa ni pamoja na kufungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo kesho June 22, 2023. Dkt. Tax baada ya kuwasili...
  20. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
Back
Top Bottom