ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Ubalozi Malaysia, Wizara mambo ya nje na mambo ya ndani Tanzania fanyeni kazi zenu badala ya kula raha ofisini

    Naomba wizara hizi turekebishane. Kuna mambo ya kifilauni yantendeka ndani ya wizara. Nasikia baadhi ya mabalozi wanateuliwa ili kulea na kusomesha watoto wa waliowateua huko nje ya nchi. hii imeleta tabia ya kiburi na kutowajibika na mambo ya wa-TZ wa kawaida ktk nchi wanazowakilisha. Kuna...
  2. gammaparticles

    Leo ni 9/11: Tujikumbushe mwanzo wa harakati ulioanzia na shambulio la ubalozi wa US Tanzania na Kenya

    Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar es Salaam kusababisha maafa na kuacha majeruhi. Waathiriwa hao bado wanasaka fidia kutoka kwa...
  3. The Sheriff

    Ubalozi wa Marekani: Mauaji ya Ali Kibao na vitendo vingine vya kikatili havipaswi kupewa nafasi katika demokrasia

    Marekani inaungana na wale wanaotoa wito wa uchunguzi huru, wa uwazi, na wa haraka kuhusu utekaji unaoendelea na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mauaji na kupotea kwa watu, pamoja na kukamatwa, kupigwa, na juhudi nyingine za kuwaengua raia katika uchaguzi zilizotokea mwezi uliopita, havipaswi kuwa...
  4. Ojuolegbha

    Masauni apokelewa na Ubalozi wa Tanzania- Comoro

    Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro leo Agosti 13, 2024 umempokea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni ambaye alitembelea Ubalozini na kusalimiana na watumishi. Akiwa Ubalozini alipokea taarifa ya kituo na masuala ya Watanzania waishio...
  5. J

    Ubalozi wa Ufaransa waitembea JamiiForums

    Leo Agosti 2, 2024, JamiiForums (JF) imepata ugeni kutoka Ubalozi wa Ufaransa ukiongozwa na Naibu Balozi Axel Guillon ambaye amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi pamoja na Watendaji wa JF Guillon amepata nafasi kujionea jinsi JF inavyoendesha shughuli zake pamoja na kujadiliana na Uongozi...
  6. BARD AI

    Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  7. Roving Journalist

    Mbunge Njau: Jengo letu la Ubalozi Washington DC limechakaa na limepoteza hadhi

    Mbunge Felista Deogratius Njau akichangia mada kuhusu Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amesema majengo kadhaa ya Ubalozi wa Tanzania yamechakaa likiwemo la Washington DC Nchini Marekani, hivyo ameshauri Serikali iangalie jinsi ya kuboresha. Ameyasema hayo...
  8. MK254

    Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

    Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
  9. Webabu

    Colombia kufungua ubalozi wake Palestina mjini Ramallah

    Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah. Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
  10. Ojuolegbha

    Balozi yakubu afika ZIPA kujitambulisha

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanziabar (ZIPA) imekutana na Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Balozi Said Yakubu aliyefika Ofisi za ZIPA Maruhubi Kujitambulisha Balozi huyo ambae ameambatana na watendaji kutoka Idara ya Mambo ya Nje Tanzania amesema kuteuliwa kwake kuwa Balozi wa Comoro ni...
  11. BARD AI

    Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
  12. kijanamtanashati

    Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania. Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi...
  13. K

    Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu...
  14. D

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

    1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana balozi bila bila. Amna hata coperation. Any way. TUKIO YA LEO YANGA KUKWAMA: same same senerio...
  15. MK254

    Urusi yalaani shambulizi la Israel ubalozi wa Iran nchini Syria na kumuua jenerali wa Iran

    Kupiga ubalozi wa Iran ni mithili ya kushambulia ndani ya taifa la Iran, Israel wameendelea kuua wakuu wa jeshi la Iran, jana wamepiga ubalozi wa Iran na kuua wakuu wa jeshi humo, nilitegemea Iran ifanye kitu cha maana ila ndio hivyo! ================================ Russia condemned an...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

    BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency. Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps has been killed but the ambassador survived Israeli imeshafanya yake
  17. S

    Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

    Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa. Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda. Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma. Muda utathibitisha.
  18. Meneja Wa Makampuni

    Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  19. Mjanja M1

    Ubalozi wa Marekani kufanya mnada wa kuuza vitu nchini

    Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
  20. Roving Journalist

    Watanzania wanaotaka Ujerumani walipe fidia ya Ukoloni waambiwa wafuate utaratibu

    Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
Back
Top Bottom