Urusi yafungua ubalozi nchini Burkina Faso baada ya miaka 30

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Faso.JPG
Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo.

Ufaransa ililaani mapinduzi ya Burkina Faso pamoja na katika Nchi jirani za Mali na Niger.

Hatua hiyo inakuja baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kutekeleza kile alichokiahidi kuwa atafungua Ubalozi huo wakati wa mkutano wa Urusi na Afrika uliofanyika St Petersburg, Julai 2023 tangu ulipofungwa Mwaka 1992 zoezi lililoendana na kupunguza ushiriki wake kwa Nchi za Afrika.

Utawala wa Rais Putin umekuwa ukitumia nguvu kubwa kurejesha uhusiano mzuri wa Taifa hilo katika Nchi za Afrika.

Ikumbukwe Julai 2023, Burkina Faso ilisaini mkataba na Urusi kwa ajili ya ujenzi wa kinu cha nyuklia ili kuongeza usambazaji wa nishati hiyo.

==============

Russia reopens embassy in Burkina Faso

Russia has reopened its embassy in Burkina Faso after it was shut more than 30 years ago, officials have said.

Burkina Faso was a close ally of former colonial power France, but has pivoted towards Russia since the military seized power in a coup in 2022.

The junta has expelled French diplomats and has shut France's military base in the country.

At the same time, it has been strengthening military and diplomatic ties with Russia.

France had condemned the coup in Burkina Faso, as well as in neighbouring Mali and Niger.

Russian President Vladimir Putin announced plans to reopen the embassy during the Russia-Africa summit in St Petersburg in July.

The embassy was closed in 1992 as Moscow reduced its involvement in Africa following the end of the Cold War and the collapse of the Soviet Union.

The embassy was reopened at a ceremony in Burkina Faso's capital, Ouagadougou, Russia's state-owned news agency Tass reported.

Russia has not yet named the head of the mission.

Russia's ambassador to Ivory Coast, Alexei Saltykov, said he would head it until Mr Putin made an appointment, AFP news agency reports.

He described the West African state as "an old partner with whom we have solid and friendly ties".

Under Mr Putin, Russia has made a huge push in recent years to regain influence in Africa.

Burkina Faso's Defence Minister, Col Kassoum Coulibaly, held talks with his Russian counterpart Sergei Shoigu in Moscow last month, in the latest meeting between military officials from the two countries.

Col Coulibaly said the talks had reached a "practical phase" as Burkina Faso's army tried to strengthen its capabilities.

Along with Mali and Niger, Burkina Faso has been battling an Islamist insurgency.

Mali's junta has called in Russia's Wagner mercenary group to help fight the militants while expelling French troops.

Burkina Faso's junta has denied allegations, made last year by Ghana's President Nana Akufo-Addo, that it too has brought in Wagner.

In other areas of co-operation, Burkina Faso signed a deal with Russia in July for the construction of a nuclear power plant to increase its energy supply.

Less than a quarter of the country's population has access to electricity.

Last month, Russia also sent a team of doctors to help Burkina Faso deal with deadly outbreaks of dengue fever and chikungunya.

Source: BBC
 
bahati mbaya, hakuna nchi iliwahi kufanikiwa kiuchumi ikiwa upande wa urusi. though siwapendi wamagaribi kwasababu ni mapunga, ila ukweli ni kwamba ukienda upande wa urusi, tegemea silaha tu ila sio maendeleo.
 
Urusi anakupa silaha ujilinde ili utafte maendeleo mwenyewe sababu hakujawahi kua na maendeleo pasipo na amani
United Shits Of Americant na shost zake wanakupa hayo khatimae wanakufanya unakua msukule hujiwezi kwa lolote
 
Back
Top Bottom