Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,718
- 11,708
Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani inayofanywa na wengine ni kama haina mvuto.
Vile vyama vingine ndio kama vimeshakufa kabisa, wao hata siasa za matukio zimewashinda.
Kwa hali hii ya siasa za upinzani kuwa mikononi mwa Lissu peke yake na upinzani wote kungojea huruma za Samia na miujiza hiyo 2025 watafika kweli? CCM inaweza kuishia kujizolea ushindi wa kishindo kabisa.