shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Shetani pacha wake pesa na warembo

    Shalom, Ukubali ukatae penye pesa shetani yupona penye warembo shetani katulia, sasa utaamua wewe na tafakari yako wewe upo wapi na shetani wako umekaa nae wapi. Ni kwa uchache naomba iwafikie Wadiz
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Pesa ni shetani

    PESA NI CHANZO CHA MAOV Watu wengi mno si waaminifu kabisa kwenye masuala ya PESA. Tatizo ni malezi au hii ni hulka tu tunayoiendekeza ukubwani? Hili janga limewahi kukukuta la mtu kukosa uaminifu? Ilikuwaje? Umewahi kudhulumu pesa ya mtu aliyekukopesha, aliyekupa ufanye kazi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake

    Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote? Hata wachungaji/mapadre wenyewe...
  4. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inavyotusogeza karibu na Shetani, mbali na MUNGU

    Inafika kipindi inabidi tukubaliane na mabadiliko ya dunia hii. Hatuwezi kuishi kwenye dunia kama babu zetu ama nyani wa msituni. Ni lazima tukubaliane na matakwa ya dunia yanavyotutaka kwa sababu ndipo tunapoelekea na kulazimishwa kuishi. Watawala wa dunia kwanza walitutaka tuwe bize sana...
  5. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kila kitu sio kumsingizia shetani sasa sisi waumini tumwamini nani sasa kati ya shetani na viongozi wa dini tunaowategemea.

    HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu Chanzo mwananchi 17th May 2024 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx . Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
  6. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Shetani pia hucheza nyimbo za injili

    Akitokea malaika mmoja ambae pia ni mbwa mwitu mwenye vazi la kondoo akianzisha pambio basi hata mqshetani mwenye huimba na kucheza Nachomaanisha ni hiki akitokea mwana JF kusema nina gari basi wote watakao comment ni kama vile wanamagari Akitokea mtu akasema ukimwi upo wote watakao comment ni...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Suala la shetani na uchawi limewapatia watu utajiri na mafanikio makubwa Afrika

    Swala la shetani na uchawi limepelekea watu kujipatia utajiri na mafanikio makubwa huku Africa. Watu wamekuwa wakifanya mambo pasipo kutumia Akili na mwisho zigo la lawama wanamtupia shetani. Ukianza kuhisi shetani anakuzuia kufanikiwa fahamu tu utapigwa hela muda sio mrefu. Pia ukianza kuona...
  8. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Usipompa kazi mwanao, atapewa kazi na shetani

    Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo. Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi, kuni za mwalimu zililetwa na wanafunzi na maji alichotewa na wanafunzi. Mwanafunzi alijisikia fahari kutumwa na mwalimu wake...
  9. Last Philosopher

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Shetani ndani yetu

    Mara zote kwenye maisha yetu tumekuwa na dhana ya kusema sijafanya kitu kwa matakwa yangu nimepitiwa au nime shawishiwa na shetani. Neno hilo limetukaa sana akilini na kutufanya kuna muda kujitoa kwenye wajibu wa tulichokitenda na kujutia kujiona hatuja kamilika kuwa wema ndani yetu. Embu...
  10. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mpuuzieni Christina Shusho, anatumika na shetani kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa

    Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Pigana na Adui mwovu shetani kwenye ndoa yako

    Ndoa ni moja wapo ya shabaha zinazotamaniwa na adui kushambulia kwa mishale ya moto. kwa sababu akifanikiwa kuharibu ndoa, itasababisha uharibifu mkubwa kwa familia na jamii kwa sababu hii ni mara nyingi shetani. hutumia udhaifu wa kibinadamu wa kawaida kushambulia akili ya mwenzi (wivu...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya mke mmoja ni mpango wa shetani tusiache uzinzi?

    Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu tu kuwaza, labda ni mpango wa shetani kuchomekea hii itikadi. Alichomekea akijua huu mtego hawa...
  13. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Shetani ananiandama bila sababu za msingi

    Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya Mwanadamu na Shetani haina usawa na haki

    Hapo vipi? Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo. 1. Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambacho kwa namna...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Shetani wa Yanga najua madhara anayoweza kuyapata kwa ahadi zake?

    Sikiliza na kutazama hapa ahadi yake kuelkea Dar es salaam Derby.
  16. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    wakuu hebu tusaidiane. waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani kwanini wanapingana mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife cc rakims ccmshanajr walker water
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    🚨 Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Gaidi la Jihad lalaumu shetani kwa kulifanya livamie Israel na kubaka mwanamke kwa dakika moja

    Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa.... Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds. The IDF on Thursday put out a video of a Unit 504 interrogation of an Islamic Jihad terrorist named Manar...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa hii Dunia ni MUNGU, ila shetani kajizolea kijiji chake cha watu wenye nguvu yenye ushawishi

    Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo. Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
Back
Top Bottom