Shetani ni tajiri kuliko Mungu hapa duniani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,610
8,736

Luka 4:1-21 BHN​

Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu.’”Kisha Ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. Huyo Shetani akamwambia, “Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza.

Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa:‘Utamwabudu Bwana Mungu wako,na kumtumikia yeye peke yake.’”Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini kwa maana imeandikwa:‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’na tena,‘Watakuchukua mikononi mwao,usije ukajikwaa mguu kwenye jiwe.’”Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’” Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.

Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani. Naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote.Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti.

Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa:“Roho wa Bwana yu juu yangu,kwani ameniweka wakfuniwaletee maskini Habari Njema.Amenituma niwatangazie mateka uhuru wao,na vipofu watapata kuona tena;amenituma niwakomboe wanaoonewa,na kutangaza mwaka wa neema ya Bwana.”Baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote wakamkodolea macho. Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.”

MADA YENYEWE
Shetani kuwa tajiri linaweza kuwa na utafakari tofauti kwa wengine sababu ya kiimani ila tutawekana sawa kwa ili.wakati vyote tuvitumiavyo hapa duniani kwa imani ya kiislamu wanasema ni vya duniani au elimu dunia ambayo wao uona kama ni kibinadamu na shetani.

Sababu mambo mengi yaliyopo hapa duniani yamejaa ushetani sana na ndio wenye nguvu na mali zote hapa.
jiulize kwenye amri kumi za mungu kama ukizifata utakuwa tajiri?
 
Shetani hajawahi kua tajiri na hana anachomiliki,vyote ni mali ya Mungu...Mwanzo 1:1-28,..tatizo shetani ni baba wa uongo na hapo ndipo alipowashika wanadamu wasioelewa,hua anafanya ukweli kua uongo,...ukitaka kujua hili tafuta tajiri yoyote aliyepata utajiri kwa njia za kishirikina,uone mwisho wake kama ataweza hayo masharti...ataambiwa atoe kafala mpk mwisho yeye mwenyewe atajikuta either anajitoa au watoto na mke wameisha na the end,utajiri unaondoka kwa sababu sio wake shetani,utajiri kiuhalisia na mali ya Mungu muumbaji Torati 28:1
 
we bila uongo ungefanikiwa au kupata unachotaka
 
Hauwezi kupata hitimisho kwa kusoma kifungu kimoja cha biblia uwe unajaribu kuangalia reference katika vitabu vingine neno hilo hilo ulilosoma kwenye luka hitimisho utalipata katik kitabu cha hagai
 
niliyotoa hapo nimetoa hapo kuwa shetani kijionesha yeye ni tajiri
 
Utajiri ni mtazamo wa MTU na sio material possession . like House. Car money and etc.
Acha kujidanganya, utajiri ni material yanayoonekana kama vile nyumba, pesa, magari n.k
Ni mzazi masikini tuu ndie atakayemwambia mwanae kuwa mali atakayorithi kwake ni elimu tuu, anasema hvy kwa sababu hana asset yoyote ya mwanae kurithi.

Kubali kataa, utajiri ni asset.
 
Hii inahitaji AKILI za ndani kuielewa hasa Kama umetokea broke families with no life Exposure
 
Luka 4:1-21 BHN​

Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu.’”Kisha Ibilisi akamchukua hadi mahali pa juu, akamwonesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu. Huyo Shetani akamwambia, “Nitakupa uwezo juu ya falme zote hizi na fahari zake, kwa maana nimepewa hivi vyote; nikitaka kumpa mtu ninaweza.

Hivi vyote vitakuwa mali yako wewe, kama ukiniabudu.” Yesu akamjibu, “Imeandikwa:‘Utamwabudu Bwana Mungu wako,na kumtumikia yeye peke yake.’”Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini kwa maana imeandikwa:‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’na tena,‘Watakuchukua mikononi mwao,usije ukajikwaa mguu kwenye jiwe.’”Lakini Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’” Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.

Hapo Yesu alirudi Galilaya akiwa amejaa nguvu za Roho Mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani. Naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote.Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti.

Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa:“Roho wa Bwana yu juu yangu,kwani ameniweka wakfuniwaletee maskini Habari Njema.Amenituma niwatangazie mateka uhuru wao,na vipofu watapata kuona tena;amenituma niwakomboe wanaoonewa,na kutangaza mwaka wa neema ya Bwana.”Baada ya kusoma, akafunga kile kitabu, akampa mtumishi, kisha akaketi; watu wote wakamkodolea macho. Naye akaanza kuwaambia, “Andiko hili mlilosikia limetimia leo.”

MADA YENYEWE
Shetani kuwa tajiri linaweza kuwa na utafakari tofauti kwa wengine sababu ya kiimani ila tutawekana sawa kwa ili.wakati vyote tuvitumiavyo hapa duniani kwa imani ya kiislamu wanasema ni vya duniani au elimu dunia ambayo wao uona kama ni kibinadamu na shetani.

Sababu mambo mengi yaliyopo hapa duniani yamejaa ushetani sana na ndio wenye nguvu na mali zote hapa.
jiulize kwenye amri kumi za mungu kama ukizifata utakuwa tajiri?
Hakuna Shetani wala Mungu. Hizo habari zote za kuwapo Shetani na Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
 
Back
Top Bottom