shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

    habari wadau. natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao. mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa. Is lucifer, satan? Au...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wanaoua na kufanyia ukatili wazazi, ndugu, watoto, n.k hakuna anaependa! shetani hana mkataba, makubaliano na mganga ni kuuziwa kiwanja baharini

    Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti yanayoleta majuto. Msione watu wanakamatwa wanabaka wajukuu zao mkadhani wote wanapenda, kuua damu...
  4. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  5. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Pale Shetani anapotaka tushirikiane nae katika mambo yake

    Watu wa mtandao fulani sitaki kuutaja hapa huwa wana kawaida moja pale linapokuja swala la kuangalia connection,huambiana jamani naomba mnitumie nami pm au dm tugawane dhambi Angalau hao huwa na uhuru wa kuamua kushirikiana mambo ya shetani kwa utashi wao,lkn jambo baya ni kushirikishwa mambo...
  6. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

    Case studies zipo nyingi Sana Sina haja ya kurudia. Uzi tayari.
  7. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Shetani mpenda sala!

    Watakatifu wa usoni. Katika giza la unafiki, watu wanajifanya kuwa wema wanavaa ngozi ya kondoo kumbe chui, ustadi na wakati wa majaribu, ni vigumu kutofautisha kati ya wema halisi na wenye hila za watu wenye kujali maslahi yao binafsi kwa kutumia taswira ya utakatifu na uadilifu wakati...
  8. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Adamu alishindwa kumuhudumia Hawa (Eva) mpaka pale Joka Shetani alipomtoa lunch?

    Habari za Majukumu wakuu. Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya. Ningeomba niende moja kwa moja kwenye hii mada na nitaielezea kwa ufupi. Ni kisa nilichokutana nacho katika chombezo la hapa na pale na mwanamama au niseme mwanadada wa makamo ndipo katika ucheleweshwaji wa huduma akanipa...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya mawakala sio maslahi ya umma, taifa wala sio uhifadhi

    Migogoro Wa Ardhi unaoendelea Ngorongoro umekuwa ukijengewa dhana kadhaa ili ikubalike na wengi. Mara ni Mpango wa kuokoa uhifadhi, mara kulinda masalia ya wanyama, mara kulinda vyanzo vya maji, mara kulinda malikale (labda Wamasai wasikanyage fuvu la kale au nyayo labda wanadhani Wamasai ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fumbo za shetani 5:Hubiri ulichoitiwa

    https://youtu.be/koFZXcMWfAc?si=0zoWXSw-SWrm0wA7
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania P Didy nadhani ndio Shetani mwenyewe

    Duh huyu Mwamba nadhani ndio Shetani mwenyewe. Idadi ya mafuta ya vilainishi alivyokutwa navyo Picha kwa hisani ya Crown Media
  12. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Asiyeamini hakuna shetani ana shida ya kiakili - Je CCM huioni?

    Inaniwia vigumu sana kuona watu wenye akili ya kawaida kupinga uwepo wa shetani Ni kama vile unaamini umeme upo, unaamini kitu kinachoitwa data (MB), ila je je ushawahi kuziona mb zenyewe rangi yake? Jibu hapana lakini watu tunaamini zipo. Sasa mnashindwaje kuamini shetani yupo? MB na umeme...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Shetani kamwaga roho ya madeni ulimwenguni. Be careful

    Hello! Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena. Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya madeni, madeni yanamsogeza mtu karibu na kifo, madeni huondoa amani katika familia. Katika mipango...
  14. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudorora kwa muhimili wa familia na wimbi la kukataa ndoa ni ishara ya ushindi kwa shetani

    Habari za wakati huu wadau na wana familia wote..... Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia. Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Pole shetani

    Mbinguni kuna hukumu,amewaita manani Malaika walo zamu,aridhi na samawini Idadi wameshatimu,walo watu na majini Umeonewa shetani? Mikao ni kwa kaumu,watu wa zama fulani mitume yao hashimu,ilotumwa duniani Wamekaa kwa nidhamu,kikao kiso amani Umeonewa shetani? Mkuu wa mahakimu,aliyeketi enzini...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Biblical Interpretation: Shetani siyo Lucifer, Lucifer ni Yesu (King James Isaiah 14:12 and Revelation 22:16)

    Leo wana JF ninaomba niweze kuelezea kwa kina jamboa ambalo limekuwa likisambazwa miaka na miaka ya kuhusu jina Lucifer. Lucifer ni neno la Kilatini ambalo ninaandikwa kwa herufi ndogo lucifer likiwa na maana ya the morning star the planet Venus au kwa lugha ya kiswahili Zuhura Mimi...
  18. Muisraeli

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa makanisa, ni mbinu ya shetani?

    Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano:Pentekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk. Mwenye uelewa atujuze.
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwanga wa Shetani huko Kilwa bado upo?

    Wakati wa ukoloni kulikuwa na mzungu mmoja aliyeitwa Ronald De La Bere Barker. Kwa majina mengine Mtawa Maporini au Mzee Rufiji. Alikuwa anaishi kwenye mapori ya karibu na mto Rufiji. Aliandika vitabu vingi sana kuhusu maisha yake na mambo aliyoyaona. Moja ya kitabu hicho ni juu ya Mwanga wa...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii ni misemo ambayo inamrahisishia shetani kazi yake

    Kimsingi shetani yuko smart sana kiasi kwamba kumzidi ni ngumu. Hutumia binadamu wenyewe kufanikisha mambo yake. 1. "Fuata ninachosema usifuate matendo yangu" Hii mara nyingi ni kisingizio kinachotolewa na baadhi ya viongozi wa dini au watu wengine waliojipambanua kama wenye maadili bora. 2...
Back
Top Bottom