shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi bila kuwapo shetani Dini na Mungu zingekuwapo?

    Dini zote nyemelezi zinatuaminisha kuwa Mungu aliumba kila kitu zikiwemo dhambi, shetani, kifo na mabaya yote. Je kwanini Mungu aliumba shetani kama lao siyo moja? Je bila shetani, dini na Mungu vingekuwa na mashiko au pa kujificha? Je shetani ni nani? Je ni mbaya kama tunavyoaminishwa? Yeye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wanaimba kwa sauti ya BWANA BWANA ila midundo ni ya shetani

    Mbinu za Kuwavuta Watu kwa Shetani kwa Kutumia Nyimbo za Kidini Zenye Midundo ya Shetani Utangulizi: Katika ulimwengu wetu wa kisasa, kumekuwa na kuibuka kwa kundi la watu wanaotumia mbinu mbalimbali za kuvuta wengine kwa shetani, huku wakitumia nyimbo za kidini zenye midundo ya shetani. Ingawa...
  4. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Afrika ni wauaji na wabinafsi

    Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac? Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo cha Ugomvi wa Shetani na Mwanadamu

    Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
  7. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Serikali inabebwa na shetani ndio maana mali tulizozikuta Duniani hati miliki ni ya Serikali

    Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe. Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
  8. Sajo

    JamiiForums Tanzania Unajua kuwa watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao kwa kunyang'anywa nyota na vibali vyao?

    Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli. Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jonathan Majors alikuwa anaenda vizuri lakini sijui shetani gani kampitia?

    Huyu jamaa Jonathan Majors ni actor anayeijua kazi yake vyema sana. Talent yake ni ya hali ya juu. na amepata deal kubwakubwa ndani ya muda mfupi sana. Sasa mwezi jana alikamatwa kwa ukatili wa kijinsia. Akatupwa na ndani kwa tuhuma za kumpiga mpenzi wake. Baada ya kesi hiyo wmetokea wanawake...
  10. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu) Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa) White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya...
  11. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

    Sehemu ya 1 Ninaitwa Kapeli ni mtoto wa sita kati ya watoto saba familia yetu ni ya kimasikini kama waadhirika wengine wa vita nchini kongo siku nyingine tungepitisha siku tatu bila kugusa chochote, ni maji tu ndio tungekuwa tunauhakika nayo Ni mdogo ninamiaka 15 sasa nawaza kuhusu hali...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI. Mhusika Mungu...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
  14. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wazuri mtaishia kutumika ndoa labda mkaolewe na shetani kama hamtobadilika, uzuri wako utakupeleka kwenye ndoa ila tabia yako ndo itaamua

    Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA? Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huyu Mwanamke naamini Shetani anaona wivu kishenzi

    Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda. Kanikubalia mwezi wa 7 huyu ila bado hajanipa papuchi. Anasema ananipima kama kweli nampenda au nataka kumchezea tu. Nimeona...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha. Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu...
  17. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

    Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga. Lakini...
  18. Nakadori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini kila shetani na mbuyu wake

    Waungwana natumaini mko salama. Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine. Shida ilianza baada ya kuchelewa kuamka na kukuta muda wa magari ya uhakika yanayoweza kunifikisha kwa wakati na nikarudi...
  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kwa Ukweli huu shetani ni tapeli na uwezo wake ni mdogo sana

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo. Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu. Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na shetani yupi ana nguvu zaidi ya mwenzake?

    Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi? Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao. Je, kuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?
Back
Top Bottom