shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. kid ink tz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

    Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo Ulipohitaji Vipimo...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Tunaposema Shetani hana rafiki hatudanganyi

    Wakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya na kulizindua. Wabunge wote wa Upinzani waliotokana na (UKAWA) walitoka nje kama ishara ya kupinga...
  3. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Shetani anazidi kuwafanya Watanzania masikini kupitia vifurishi vya data

    Kama kuna pepo linalowamaliza watanzania leo hii ukiacha cancer na hiv n vifurishi vya data Yaani Watanzanià wameingiliwa na hili pepo ambalo imefika radhi wanunue vifurushi watoto wanywe chai na mkate Wako radhi wakose nauli kesho wawatumie mahawara zao ama bibizao vifurushi Kiukweli...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kataeni kuonewa tena , unyonge wenu sasa basi , wala Msiogope maana Shetani hajawahi kumshinda Mungu

    Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Shetani Katoa Point: Majibu yq kanisa la Shetani kwa Jamaa aliyeomba Kujiunga na Illuminati kwa kutweet account ya kanisa hilo.

    Jamaa kauliza '' Kanisa la shetani ninawezaje kujiunga na Illuminati? ''. '' nataka kuwa tajiri'''. JIBU LA KANISA LA SHETANI '' Illuminati inamaanisha kuwa na akili au mwangaza, Hivyo soma vitabu, Jielimishe hivyo utakuwa Illuminati, kama bonasi kujielimisha kutakufanya kuwa na hatua nzuri ya...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wadangaji wanajua kuremba, shetani anaitwa babe shetty

Back
Top Bottom