Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

Tatizo ni ujinga wetu tu chini ya meza:

IMG_20231208_100714.jpg
 
Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula Chao.

Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine.

Ni hayo tu
And there is absolutely nothing you can do about it!
Zero, Zilch.

LoL

Wivu unawaangamiza.
 
...An there is absolutely nothing you can do about it.

Kuna watu wana hasira na kutwa ni kufukuzana na mizimu, kutwa kuongelea uchawi, wachawi, waafrika wakati wanajua hakuna chochote wala lolote wanaloweza kwenda kubadilisha bali kupiga mayowe tu na kuendeleza ugaidi wa mitandaoni.

mjitathmini
 
Back
Top Bottom