Video: Gaidi la Jihad lalaumu shetani kwa kulifanya livamie Israel na kubaka mwanamke kwa dakika moja

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,656
48,436
Hili gaidi la kiislamu limeamua kufunguka yote baada ya kukamatwa....

Pressed how long the rape lasted, Islamic Jihad terrorist Manar Mahmoud Muhammad Qasem said around 60-90 seconds.​

The IDF on Thursday put out a video of a Unit 504 interrogation of an Islamic Jihad terrorist named Manar Mahmoud Muhammad Qasem in which he explicitly confesses to and describes his rape of an Israeli woman on October 7.

From the interrogation video, Qasem did not seem to know much about the invasion of Israel in advance, but he was told by one of his fellow Islamic Jihad counterparts that they were going to attack Israel when he arrived at their regular base.

Despite being trained for naval combat, he and his counterpart joined in the invasion on land. Qasem noted to the interrogator that his counterpart was wounded in the head after they crossed into Israel, but that he proceeded into a Kibbutz with a handgun and two grenades.

Next, he said, he entered a house alone; it initially appeared empty, but he then found a woman in one of the side rooms.
1711679153482.png

Hiyo confession sio ya kuamini sana, upo under interrogation, unaminywa mbupu, una ngolewa meno na kucha! Lazima utasema chochote watakachotaka useme,
Kama watu wakipelekwa polisi tu, wanataja mpaka majina ya ya watoto wao, sembuse upo kwenye mikono ya Mossad, shabakh,IDF!
 
Bado hajasema, atasema tu....
 
Kwahiyo gaidi hili lilipochomeka tu wazunguu tiiii hiki nacho ni kiashiria cha jitu gaidi maana nguvu zote zinanyonywa na kemikali za milipuko na vilipuzi wanavyovicha hadi kwenye makende
 
Hiyo confession sio ya kuamini sana, upo under interrogation, unaminywa mbupu, una ngolewa meno na kucha! Lazima utasema chochote watakachotaka useme,
Kama watu wakipelekwa polisi tu, wanataja mpaka majina ya ya watoto wao, sembuse upo kwenye mikono ya Mossad, shabakh,IDF!
Niueni wanaminya kende sema
 
Kwahiyo gaidi hili lilipochomeka tu wazunguu tiiii hiki nacho ni kiashiria cha jitu gaidi maana nguvu zote zinanyonywa na kemikali za milipuko na vilipuzi wanavyovicha hadi kwenye makende
We Jamaa kuna kitu kichwani kwako hakijakaa Sawa
 
Kwahiyo gaidi hili lilipochomeka tu wazunguu tiiii hiki nacho ni kiashiria cha jitu gaidi maana nguvu zote zinanyonywa na kemikali za milipuko na vilipuzi wanavyovicha hadi kwenye makende

Huwa yana upwiru sana baada ya kufungiwa miaka mingi sehemu moja huku yakikaririshwa Kurani na chuki.
 
Hiyo confession sio ya kuamini sana, upo under interrogation, unaminywa mbupu, una ngolewa meno na kucha! Lazima utasema chochote watakachotaka useme,
Kama watu wakipelekwa polisi tu, wanataja mpaka majina ya ya watoto wao, sembuse upo kwenye mikono ya Mossad, shabakh,IDF!
Ni kweli..
 
Mkakati wa Israel ni mwarabu kuondoka Gaza(atake auasitake),, then makazi ya walowezi yajengwe na gas ianze kuvunwa. Hamas walipaswa kuwa na akili kubwa,mabavu sikuizi cyo njia sahihi ya kumshinda adui. Aljazeera media wanajaribu kuonyesha madhira wanayoyapitia wafilistine but who cares? Hata warabu wenyewe hawajali,ndiyo kwanza wamefunga mipaka wapalestina wamalizwe humo humo Gaza! Yahudi alishasema "we are figuring with human animals in Gaza,,we will me sure there is no electricity,no water no food". So utelewa nini kinatakiwa!
 
Back
Top Bottom