sito sahau mganga, Sheik, Manabii na Wachungaji wameshindwa kuniombea na mpaka leo najiita kaka wa shetani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,613
8,749
Ni ukweli kabisa jina la ID yangu sijawai kuona lolote kwangu ni mekwenda kila mmoja ananiogopa maana kama vitengo vyote na mashuuda yako yamekataa.

Kisa cha mganga:
nilikwenda kwa mganga sikupata chochote zaidi ya mimi kupambana mwenyewe mpaka yule mwandulami na wababe kujikinga.

Kisa cha sheik:
nimekutana na masheik mpaka wale wanajua kupambana na majini na mmoja wapo ni waraisi mstaafu yupo hai ni kapa zaidi ya kunikwepa mpaka misikitini.

Kisa cha manabii:
hawa wanajua kutoa mapepo ila hata siku moja wakiniona wanaround about wakioniona mpaka kanisani kwao.

Kisa cha wachungaji:
hawa ni group la mwisho ambao nawaona kama nawajua sana kama masheik tu.

ID yangu naweza kukujua unacho fanya wengi wemethibitisha japo ndio napo tokea huko
 
Ni ukweli kabisa jina la ID yangu sijawai kuona lolote kwangu ni mekwenda kila mmoja ananiogopa maana kama vitengo vyote na mashuuda yako yamekataa.

kisa cha mganga:
nilikwenda kwa mganga sikupata chochote zaidi ya mimi kupambana mwenyewe mpaka yule mwandulami na wababe kujikinga.

kisa cha sheik:
nimekutana na masheik mpaka wale wanajua kupambana na majini na mmoja wapo ni waraisi mstaafu yupo hai ni kapa zaidi ya kunikwepa mpaka misikitini.

kisa cha manabii:
hawa wanajua kutoa mapepo ila hata siku moja wakiniona wanaround about wakioniona mpaka kanisani kwao.

kisa cha wachungaji:
hawa ni group la mwisho ambao nawaona kama nawajua sana kama masheik tu.

ID yangu naweza kukujua unacho fanya wengi wemethibitisha japo ndio napo tokea huko
haya Sema mimi nafanya nn
 
Kama wewe unategemea maombi ya wengiine tu na wewe huonbi utajijua

Maombi ni kuombewa na kujiombea sio kuombewa tu wanaokuombea wanaungana na maombi yako unayojiombea shida yako.Maombi ninywo way traffic

Hivyo kama imeshindikana ina maana na wewe bwege kwenye maombi yako. Na kama bwege kwenye maimbi yako sahau kupata ufumbuzi wa shida zako
 
Kama wewe unategemea maombi ya wengiine tu na wewe huonb8 utajijua

Maombi ni kuombewa na kujiombea sio kuombewa tu wanaokuombea wanaungana na maombi yako unayojiombea shida yako

Hivyo kama imeshindikana ina maana na wewe bwege kwenye maombi yako.
ulipo umechoka nakuona hata ulipo chumba kimoja
 
Back
Top Bottom