Mwanamke ndio kiumbe pekee aliyewahi kuonana na shetani uso kwa uso wakapanga uovu

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!

Kwanza nikaanzie kwa kusema mwanaume anayempenda mwanamke na muona nimshamba na hajitambui.

Mimi sinto owa kwasababu siwezi kuishi na mwanamke...hiyo ndio salam.

Vitabu vya dini vimeweka wazi yakwamba mwanamke tokea awali ni muovu kwasababu Biblia inasema katika bustani ya edeni ni mwanamke ndio wameonana na shetani wakazungumza na kupanga njama ya kuharibu mpango wa Mungu kisha kumuangusha Adamu..hapa na hisi kulikuwa na mambo mengi zaidi ya tunda ambayo wamezungumza shetani na mwanamke,nahisi hata mapenzi wamefanya na kupanga mikakati na mipango ovu minginee ya mbele dhidi ya mwanaume na Mungu.Nahisi haya tunayo yaona na uovu ya wanawake wakileo nahisi ni ile mikakati ya siri waliokubaliana shetania na mwanamke na sio ajabu kunaa mengine yatajitokeza baadaye.

Nahisi mipango ya siri ambao inajitokeza kwa sasa ni kama huu

1.Kutoridhika na atakachopewa na mwanaume au na Mungu..mfano mwanamke hata umpe kila kitukuna siku atakufanyia uovu tu na mwisho mtaachana.

Mwanamke amekuwa mstari wa mbele kuongeza maumbile fake mfano hips,matako..haridhiki na alichompa Mungu..sasa we mwanaume unayejidai unajua kupenda na kumridhisha mwanamke ..utakuwa hujitambui

2.Haki sawa..huu ni mpango mwingine ambao nahisi shetani enzi hizo walizungumza na mwanamke..haki sawa sio mpango wa Mungu wala wa mwanaume..swali la msingi hii sera imetoka wap?

Wanawake kuanza kuhubiri katika nyumba za ibada na hawajaruhusiwa katika vitabu

NB.kama Mungu Baba ametoa tahadhari akasema ishini nao kwa akili ..we jidai unajua kupenda na kumridhisha mwanamke..ni upumbxvu na ishara ya aikili ndogo

ILa mwanume ambaye alisha wahi kuonana na shetani uso kwa uso ni Yesu kristo na amempiga kwa nockout,pia hakuna mwanume mwinngine ambaye alishaonana na shetani na kupanga njama yeyote dhidi ya kuharibu mpango wa Mungu..ila mwanaume pekee aliyemtoa knockout shetani tena kwa kumshinda na kumkimbiza kwa aibu ni Yesu kristo..ametuwakilisha wanaume vizuri..apate maua yake akiwa Mbinguni
 
Ngoja waje na makombora.

Mawazo yangu kuhusu namba mbili ni kuwa haki sawa ni mpango wa wanaume wazungu, nimbinu ya kutafuta utajiri zaidi, ni mbinu ya kutafuta madaraka zaidi.

Nawaza hivi; kwanza mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na rahisi ku trust kuliko mwanaume. Matajiri, taasisi na dora za kizungu zinapigia sana chapuo haki sawa ili kujitengenezea pesa, madaraka na kuchuma zaidi kutoka kwa nchi puizi hasa za kiafrika. Nchi thabiti si rahisi mwanamke kupewa nafasi ya dora kubwa.

Waeneza movements za haki sawa wanataka kuushusha utawala wa mwanaume ili watumie udhaifu wa mwanamke kuchuma zaidi. Chuma kama mwendazake ni ngumu kuingilika, so wanapandikizwa wanawake ambao ni soft.

Unaweza kuona siku hizi matajiri wengi wanaburuzwa mahakamani kushtakiwa na wanawake kwa makosa ya kipuuzi na kengo ni kupata mgao kutoka kwenye utajiri wa hao madume. Hizo sheria zimewekwa na wanaume au taasisi zinazoongozwa na wanaume ili kumpa nguvu mwanamke. Kwanini? Kesi hizi zikiisha na mwanaume kupatwa na hatia na mpunga kutolewa, kuanzia mahakama hufaodika, na wanasheria na pengine huwa kuna asante chini ya kapeti.

Kila unachokiona hapa duniani ni namana ya kutafuta wealth tu. Uwepo wa single mama wengi umechagizwa na movements za wazungu nao pia nauna kuwa ni mpango wa kuzalisha kizazi kischo na maadili, soft na kisichofiri vizuri, bado watapata loophole.

Movements za ushoga zinachochewa na wazungu kwa nguvu zote, hadi kwenye mpira wanashawishi kuutanza ushoga. Mtu anaweza jiuliza nini faida kwako? Ni kwamba, mkiwa mashoga wengi, hamtazaa sana. Shoga hana fikra thabiti kama mwanaume rijali bado mtatengeneza loops.
 
Una hoja mkuu,usikilizwe
 
Ila ni kweli, huo ujasiri tu wa kuzaa mmafikiria ni kitu kidogo ?

Sometimes tukikaa kimya msituone wajingq huwa hatutaki tu kusema.

Eva alijificha na shetani hukooo, walichoongea nani anajua?

Mtuvumilie tu.
 
Pia kumbuka watu mitume muhimu wote kwenye Biblia walipo tumwa na Mungu duniani sharti kubwa walilopewa ili wasiharibu makusudi ya Mungu.Wengi hawakuoa kwa mfano Eliya,Elisha,Yohana mbatizaji,Yesu Kristo,Mtume Paulo,hata binadamu walio ifanya dunia ifike hapa ilipo kitechnology kama akina Isack Newton hawakuwahi kuoa na wale watumishi waliokaidi hivyo mabaya yaliwapata kama Samson.Suleiman pamoja na kuwa na wake wengi mwisho wa siku walimvuruga akaabudu miungu mingine,kuna mifano mingi mingi mingi
 
Habari za shetani ni habari za uongo zisizo na ukweli wowote. Hizo habari zimetungwa tu kum-victimize mwanamke.

Tuache kuwahukumu wanawake kwa maandiko yasiyo na ukweli wowote.
 
Hakuna binadamu amewahi kukutana na shetani.

Shetani alivyoasi akaangukia kuzimu.

Mmeaswa. Ishinini nao kwa akili.

Ukosefu wako wa akili usimsingizie shetani.

Jipe maarifa. Nayo maarifa yatakupa ukombozi.
 
Ngoja waje na makombora.

Mawazo yangu kuhusu namba mbili ni kuwa haki sawa ni mpango wa wanaume wazungu, nimbinu ya kutafuta utajiri zaidi, ni mbinu ya kutafuta madaraka zaidi.

Nawaza hivi; kwanza mwanamke ni kiumbe dhaifu sana na rahisi ku trust kuliko mwanaume. Matajiri, taasisi na dora za kizungu zinapigia sana chapuo haki sawa ili kujitengenezea pesa, madaraka na kuchuma zaidi kutoka kwa nchi puizi hasa za kiafrika. Nchi thabiti si rahisi mwanamke kupewa nafasi ya dora kubwa.

Waeneza movements za haki sawa wanataka kuushusha utawala wa mwanaume ili watumie udhaifu wa mwanamke kuchuma zaidi. Chuma kama mwendazake ni ngumu kuingilika, so wanapandikizwa wanawake ambao ni soft.

Unaweza kuona siku hizi matajiri wengi wanaburuzwa mahakamani kushtakiwa na wanawake kwa makosa ya kipuuzi na kengo ni kupata mgao kutoka kwenye utajiri wa hao madume. Hizo sheria zimewekwa na wanaume au taasisi zinazoongozwa na wanaume ili kumpa nguvu mwanamke. Kwanini? Kesi hizi zikiisha na mwanaume kupatwa na hatia na mpunga kutolewa, kuanzia mahakama hufaodika, na wanasheria na pengine huwa kuna asante chini ya kapeti.

Kila unachokiona hapa duniani ni namana ya kutafuta wealth tu. Uwepo wa single mama wengi umechagizwa na movements za wazungu nao pia nauna kuwa ni mpango wa kuzalisha kizazi kischo na maadili, soft na kisichofiri vizuri, bado watapata loophole.

Movements za ushoga zinachochewa na wazungu kwa nguvu zote, hadi kwenye mpira wanashawishi kuutanza ushoga. Mtu anaweza jiuliza nini faida kwako? Ni kwamba, mkiwa mashoga wengi, hamtazaa sana. Shoga hana fikra thabiti kama mwanaume rijali bado mtatengeneza loops.
Mzee umeeleza vizuri Sana hizo loops zinawasaidiaje
 
Back
Top Bottom