sheria

  1. MamaSamia2025

    Kabla ya kuwaleta DP World turekebishe kwanza sheria za kodi

    Toka hili sakata la Bandari liibuke nilikaa kimya kwanza nitafute facts za kutosha ndo nitoe maoni yangu. Wengi wenu mmekuwa mkinisumbua kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hili lakini sikujibu chochote hadi leo nilipoona ni muda sahihi. Niwakumbushe tu kuwa baadhi ya maoni yangu huwa yanakuwa...
  2. Ramsey255

    SoC03 Michezo na utawala bora

    Mabadiliko katika Nyanja ya Michezo na Kukuza Utawala Bora na Uwajibikaji. Utangulizi: Michezo imekuwa na athari kubwa katika jamii kwa miongo kadhaa sasa, na mabadiliko katika nyanja ya michezo yamekuwa na nguvu kubwa ya kuleta utawala bora na uwajibikaji. Makala hii itazingatia jinsi...
  3. M

    Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  4. S

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Raisi Samia, japo umetukwaza sana na hii issue ya bandari, kuna mambo mazuri umefanya hasa katika kurekebisha baadhi ya mambo yaliyofanyika wakati wa utawala Marehemu Magufuli. Moja ya eneo ulilogusa ni kuboresha masilahi ya wafanyakazi kama kupandisha watumishi vyeo, kuongeza mishahara ingawa...
  5. J

    FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  6. Nyuki Mdogo

    Sheria zinaruhusu uchinjaji wa mifugo kwenye maeneo ya Ibada kisha kugawiwa hovyo kwa raia?

    Siku mbili nyuma nimeshuhudia tukio ambalo serikali imelikalia kimya ila lingeweza kuleta madhara makubwa sana kwa Jamii. kondoo zaidi ya mia 4 zimechinjwa bila kufuata taratibu za kiafya na kisha kugawiwa kwa raia! Je, hii mifugo ilikuwa salama kiafya haikua na magonjwa yoyote? serikali...
  7. F

    SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
  8. B

    Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  9. Pascal Mayalla

    Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  10. MWANDAMBO

    Maudhui ya jumla na athari za sheria mpya ya TISS

    Sheria ya Usalama wa Taifa (TISS) iliyopitishwa na Bunge la Tanzania. 1. Sheria hii imewapa Kinga (Immunity) maafisa wa Usalama wa Taifa dhidi ya makosa ya Jinai kutokana na majukumu yao. Masharti haya mapya ni tofauti na masharti ya sheria hii kabla ya mabadiliko haya, ambapo maafisa wa...
  11. T

    Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  12. P

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sheria na Haki

    UTAWALA BORA NA UWAJIBIKAJI KATIKA SHERIA NA HAKI Siku moja tembo alimwona swala anakimbia kwa spidi kali sana akamsimamisha na kumuuliza, "ndugu yangu mbona unakimbia hivyo? shida nini? Huku swala akihema akamjibu" kijijini kwetu polisi wanakamata mbuzi wote waliopo kule." Kwa mshangao...
  13. Mwande na Mndewa

    Mwambieni Zitto IGA ni sawa na Katiba ya nchi na HGA ni sawa na sheria ya nchi. Sasa ipi inamtegemea mwenzie?

    Zitto anasema IGA ni sawa na karatasi ya kufungia vitumbua, je anajua uzito wa IGA? Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI. Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI...
  14. G

    SoC03 Mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Bidhaa na Huduma za Serikali Yanavyochochea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
  15. Mhenga Mpya

    SoC03 Je, ni Utu ama Sheria huinua taasisi?

    Ni Dhahiri kuwa binadamu amebarikiwa uwezo asilia wa kung’amua mambo na kufanya maamuzi . Uwezo huo ni utashi. Utashi aghalabu hutegemea pia maarifa/stadi alizonazo mtu husika ili kufanya maamuzi. Utashi wa binadamu si tu pekee unahusika na maamuzi, bali hujijenga kwenye misingi ya Utu wa mtu...
  16. Replica

    Mchezo wa Sheria: Apoteza haki ya mgawanyo wa mali baada ya mume kudai hajawahi kumuoa Salma Mohammed, mke alibadili jina baada ya kuolewa

    Dar es Salaam. Hivi mwanamke aliyebadili jina la baba yake na kutumia la mumewe baada ya kuolewa anajua kama anaweza kupoteza haki ya kumiliki mali walizochuma katika ndoa? Hiki ndicho kilichompata Salma Mohamed Ibrahim. Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa juzi na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu...
  17. Euphra

    SoC03 Kilio cha vibarua viwandani

    Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu, Inafahamika wazi kabisa kwamba...
  18. BARD AI

    Mrisho Gambo: Agizo la Rais kwa TRA kutofungia Biashara liingie kwenye Sheria ya Fedha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
  19. REJESHO HURU

    Mwenye muswaada wa marekebisho sheria ya fedha 2023 tusaidie

    Msaada tutani wadau mwenye huo mswaada ambao Bunge limeomba wadau kutoa maoni kuhusu marekebisho hayo
  20. kimbendengu

    Tetesi: Inadaiwa Joram Mbyella, mwanachama wa CHADEMA amekamatwa na watu wasiojulikana

    Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
Back
Top Bottom