Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria.
============================...
Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo.
Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
Hivi wasomi wa miaka hii mnasomeaga shule Gani.?Au shida ni hizi English medium zinaboronga elimu yetu. Yaani Kiingereza hatujui.. Kiswahili hatua! Wakuu naomba msome wenyewe kiambata hiki.
Sheria mbaya za wakati wa Magufuli zimechangia sana ukosefu wa dollar
1. Vitendo vya kuingiza jeshi na Polisi kwenye biashara ni kitendo kibaya. Kitendo cha kuvamia maduka ya pesa za kigeni karibu yote na kuchukuwa pesa bila amri ya mahakama, bila kuwa na kesi za wizi kulitoa mwanya kwa wezi...
Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia!
Haishangazi yalishaanza...
1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.
2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.
3. Uweke malengo yako humu JF nini.
4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini.
Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita ACP Safia Jongo, wakati alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga Wilayani Chato katika Mkoa wa Geita Septemba 20, 2023.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini...
Kwa mujibu wa kifungu cha 55(2) cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16, kitendo hakiwezi kuhesabiwa kama kufanya uchochezi ikiwa umefanya mambo haya;
(a) Kuonyesha kwamba serikali imepotoka au imekosea katika mwenendo wake wowote;
(b) Kuonyesha makosa au mapungufu katika serikali au Katiba ya Jamhuri...
Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata heshima moja mnayostahili. Mnatumia mamlaka vibaya kukandamiza wananchi wanaohoji na kukosoa.
Kuhusu...
Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
Kuna rafiki yangu mmoja tulipokuwa kwenye mazungumzo fulani ya kimaendeleo aliniambia kauli kuwa Siasa na Sheria na kitu kimoja kwa kuwa vyote vimejikita kwa kucheza na maneno tu.
Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.
Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya...
Kwema Wakuu!
Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja.
Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa.
Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia.
La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
Wanabodi
Nimekutana Face2Face c̅ Juma Duni Haji al maarufu "Babu Duni" Mwenyekiti, ACT Wazalendo, amesema "ACT Wazalendo wamefarijika sana na hatua mbalimbali ambazo Rais Samia Suluhu Hassan anazochukua kuimarisha demokrasia nchini ambapo kikao cha Bunge cha mwezi October, kitapokea miswada 3...
HATUWEZI KWENDA UCHAGUZI WA 2024 NA 2025 BILA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI
Watawala wamekuja na mbinu ya medani wengi hawaijui katiba iliyopo, vyama vya siasa siyo wamiliki wa Katiba na ubora wa katiba siyo lazima haki ikatendeka.
Hivi ni visingizio vya kukwepa kurekebisha mfumo wa...
"Ibara (75) ya Matumizi ya rasilimali za ndani. Lengo la kupitia sheria ya Manunuzi ya Umma ni ili ziende kuboreshwa. Moja ya kitu ambacho kitakwenda kukinza utekelezaji wa sheria ya Manunuzi ya Umma ni pamoja na kutokufanya tathmini ya kina kwenye miradi iliyojengwa kwa fedha nyingi za Umma" -...
Kwema Wakuu!
Nimeona tujadili Jambo hapa kuhusu baadhi ya kauli za Watu hasa viongozi wa kisiasa wanaposema vitabu vitakatifu, sijajua wanazungumzia vitabu vipi.
Na hivyo vitabu vinavyozungumziwa je kisheria au Katiba ya nchi yetu inatambua kuna vitabu vitakatifu?
Nini vigezo vya kitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.