Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,226
12,733
Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo.

Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine.

Mwaka 2021 FIFA wakabadili tena kuwa hata kama mchezaji ni raia wa nchi nyingine, na amecheza mechi za kimashindano za nchi hiyo(Isipokuwa zinazohusisha Kombe la dunia na makombe ya mabala) anaweza kuamua kubadili na kuchezea nchi nyingine.

Sheria hii ndiyo imefanya timu nyingi za Africa kuwa bora sana. Ndiyo siri ya ubora wa DRC Congo na kuwa na mtu kama Theo Bangonda na kuwafurusha Misri. Ndiyo siri ya timu kama Cape Verde kuwa imara.

Hasara yetu. Huwa tunabania sana watu wakitaka passport kwenda nje. Kuna raia wachache sana nje wenye asili ya Tz. Imeturudia kututafuna.
 
Mabala = mabara
 
Asante kwa taarifa. Wazo hili nilikaa nalo kwa muda mrefu baadae nikaja kulishare humu JF mwaka jana. Kwa muda mrefu nilijua hiki ndiyo Afrika inahitaji ili kuweza kuwa tishio zaidi kwenye World Cup.

Kwa mfumo huu, Tanzania ambayo tayari ni ligi inayokaribisha wachezaji wengi wa mataifa mengine ya Afrika tukiwekeza muda na pesa kwenye timu ya taifa tunaweza kukusanya wachezaji kadhaa walio bora kutoka mataifa mengine kama ambavyo Simba na Yanga zimefanya na kupata mafanikio ya haraka. Tutafika kule tunapotaka kwenda kwa haraka zaidi.

ayo mataifa uliyotaja ki asili yana watu wenye vipaji vya mpira kwahyo nyiny wabongo hata mpelekwe wapi kama hamna asili ya vipaji ni kazi bure tu
Pia watanzania hatuna asili ya miili mikubwa. Sisi wengi ni mbegu fupi na misuli michache. Hata uwe na kipaji, uwekezaji wa academy, makocha bora. Ila kimo lazima kiwe changamoto. Wachezaji wenye urefu wa futi sita au zaidi ni wachache.

Ukweli usemwe, kama ni vipaji inabidi tutafute watoto ambao wana asili ya urefu. Sio sisi akina anduje.

Wachezaji wazuri toka congo, afrika magharibi ni mapande ya watu wenye urefu wa futi sita au zaidi
 
Wajapan na Wakorea ni wafupi ila huwa wanakichafua. Messi mwenyewe mfupi.
 
Na sisi si tucheze hivyohivyo.....
Kwa Tanzania haiwezekani kabisa, kucheza mpira kasi, maana inatakiwa mtu awe na maamuzi ya haraka chini ya sekunde moja.
Hiyo akili ya kuwa na kasi na maamuzi ya haraka inabidi uwe umecheza mpira wa kufundishwa kuanzia miaka 7. Ndio maana ulaya kuna academy za watoto zenye makocha maalumu wa watoto.
Wanafundisha watoto ili akue ubongo ukiwa unamaamuzi ya haraka haraka. Sisi mtu anaanza mpira ana miaka 18 au zaidi, ubongo ushakomaa unakuwa na mwendo wa konokono.
 
Hawana mpira wa maana, wangekuwa na mpira wangekuwa na ubingwa wa dunia. Ila kutokana wao wanajua ni wafupi, wanacheza mpira wa chini wa pasi fupifupi na kasi kubwa.
Huwa wanafika mbali sana kwenye kombe la dunia kuliko karibu timu zote za waafrika zenye mawatu marefu. Na sisi tujifunze kucheza mpira wa chini, kasi na pasi fupi fupi. Kumbe ufupi siyo kikwazo bali mbinu ndiyo kikwazo.
 
Kwa Tanzania haiwezekani kabisa, kucheza mpira kasi, maana inatakiwa mtu awe na maamuzi ya haraka chini ya sekunde moja.
Hiyo akili ya kuwa na kasi na maamuzi ya haraka inabidi uwe umecheza mpira wa kufundishwa kuanzia miaka 7. Ndio maana ulaya kuna academy za watoto zenye makocha maalumu wa watoto.
Wanafundisha watoto ili akue ubongo ukiwa unamaamuzi ya haraka haraka. Sisi mtu anaanza mpira ana miaka 18 au zaidi, ubongo ushakomaa unakuwa na mwendo wa konokono.
Kumbe na sisi tunatakiwa kuanzisha academy za kufundisha watu mpira kuanzia miaka saba. Hapo ndipo tatizo lilipo, siyo ufupi.
 
Wakifanya hivyo kufundisha watoto toka miaka 7 nahisi tutafika mbali. Huu mpira wa miaka 18(za mchongo) na kupunguza umri tutaendelea kuwa na wachezaji wazito kama wamefungwa matofali miguuni.

Ila watoto wawe warefu, sio viandunje
 
Back
Top Bottom