sheria

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Je, kisheria kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na wenzake inaweza kufufuliwa? Ili kesi hiyo ife inachukua muda gani?

    Nauliza kama kisheria inawezekana kufufua kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili Mbowe na wenzake. Je, ili kesi ife inatakiwa ichukue miaka mingapi?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini matusi yasitungiwe sheria kuondoa hizi tafsiri binafsi za wanasiasa zinazoendelea?

    Kama kinachoendelea kwenye majukwaa ya kisiasa ni matusi nadhani ni wakati sasa nchi itunge sheria ya matusi ili polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria siyo maelekezo. Juzi Kingu kasema atawataja maawara wa Mbowe CHadema wakasema ni matusi; CHadema wamepigania bandari na issue ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa. Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika? Hii ni ishara ya rais kukosa hoja.
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tundu Lissu wazuiliwa kuingia Ngorongoro

    Hii ndo habari iliyotufikia hivi punde, kwamba msafara wa Makamu Mwenyeki (Chadema),Mh lissu ,umezuiliwa kuingia Ngorongoro ili kufanya Mkutano wake na wananchi wa Ngorongoro, Hata ivyo taarifa za awali zinasema msafara wa M/mwenyekiti mh Lissu, wamefunga barabara na wamehaidi kutohondoka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

    WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA. "Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba kwa Jicho la Mtunga Katiba: Mtunga Katiba alimaanisha nini aliposema "Katiba ni Sheria Mama"? Ni kweli Katiba ni Sheria Mama?

    Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza ilitoka wiki iliyopita, Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

    Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo. Sheria hii ikipita iko siku taifa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Uchumi

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bunda: Lissu atangaza kubadili Sheria ya madini, kwamba atajayeyagundua kwenye ardhi yake yatakuwa yake

    Nchini Tanzania kwa sheria za sasa , shambani kwako kukikutwa madini , basi haraka sana madini hayo na shamba lako hilo vinageuzwa kuwa mali ya serikali , na baada ya muda mfupi wataletwa wawekezaji wa kiarabu au wa kizungu kuchimba madini hayo , huku wewe ukitimuliwa kwa mijeledi au hata...
  12. MGUBA

    JamiiForums Tanzania Kwanini posho za mujibu wa sheria ni tsh.50,000?

    Posho ya vijana wa mujibu na vijana wa kujitolea huwa sawaa nadhani hii huchangia kwa kiasi fulani kupitia kwa baadhi ya Vitu vya vijana wa mujibu wa sheria (kuluta). Mana vijana wanao jitolea huwa hawana kazi extra kwaajir ya kuendesha maisha na kujikimu wenyew katika nguo,mafuta na maitaji...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Serikali kufanya mabadiliko makubwa ya Sheria ya Utumishi ili kuwapa kipaumbele wanaojitolea

    Serikali inaendelea kufanya mapitio ya sheria ya utumishi ili kupata muarobaini wale wote wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Septemba 04, 2023 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete wakati akijibu swali la...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utakapofanya haya utahesabika kutenda Uhaini

    Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;- "Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje? Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi...
  16. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima: Tanzania kinachosumbua ni utashi wa watu kuongozwa na sheria

    Hata tukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure! Kumbe huyu ni mbobezi wa Constitutional Law! Msikilize
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  20. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Je, Rais kavunja Sheria ya Usalama wa Taifa ya mwaka 2023 kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama kuwa Balozi?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿 Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG mpya TISS. (kongole kwake). Japo jambo hilo lilizua mijadala mingi ikiwemo uwepo wa Tengua tengua Ya...
Back
Top Bottom