Nimefuatilia mijadala Bungeni kuhusu Sheria za Uchaguzi. Nilitegemea kusikia ushauri, maoni yaliyotolewa na wadau wote yakijadiliwa moja baada ya moja lakini cha kushangaza Wabunge wengi wamejikita kujadili tu marekebisho kuhusu Wakurugenzi na Jinsia.
Kuna ushauri uliotolewa na wadau kama upatatikanaji wa Mwenyekiti, Wajumbe wa Tume haya yote sijasikia yakijadiliwa. Pia walishauri Mkurugenzi wa Tume anapatikana kwa njia gani haya yote sijasikia yakijadiliwa.
Naombeni mnishauri mjadala Bungeni yamelenga marekebisho yapi?.