sheria ya habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G-Mdadisi

    Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  2. BARD AI

    Serikali yasema haiwezi kubadilisha kila kitu kwenye Sheria ya Habari

    Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa. Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
  3. G-Mdadisi

    TAMWA-Zanzibar yataka mabadiliko ya haraka sheria za habari Zanzibar

    ZANZIBAR CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
  4. BARD AI

    BALILE: Sheria ya Habari bado ina Vifungu kandamizi

    MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungu vya Sheria ya Habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho. Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV kuhusiana na Marekebisho ya...
  5. JanguKamaJangu

    Wataka Sheria ya Habari ishughulikie unyanyasaji wa waandishi wanawake, Serikali yatoa tamko...

    Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Dk. Rose Reuben ameshauri maboresho ya Sheria za Habari kuingizwa suala la kushughulikia unyanyasaji wa waandishi wa habari wanawake ili kukabiliana na changamoto hiyo katika vyombo vya habari. Dk. Rose amesema hayo kwenye mkutano wa...
  6. Analogia Malenga

    Nape: Sheria ya Habari inalenga kufungia mtu na sio chombo cha habari

    "Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna maneno mengi lakini tukifika hapo pakutoa leseni maana yake tuna uwezo wa kuichukua leseni yetu kwa...
  7. beth

    Malalamiko ya Sheria Kandamizi: Rais Samia asema Serikali ipo tayari kupokea Mapendekezo kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Habari

    Picha: Rais Samia akihojiwa na DW Akiulizwa ikiwa Vyombo vya Habari kufungiwa kutategemea Hisani ya Kiongozi mmoja hadi mwingine au upo utaratibu wa kuhakikisha vinafanya kazi kama taratibu zinavyoelekeza, Rais Samia amesema Vyombo vya Habari vitafanya kazi kwa Mujibu wa Sheria Katika...
  8. Miss Zomboko

    Urusi yatoza Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha milioni 36 kwa kukiuka sheria ya habari

    Mahakama nchini Urusi ilitoza kampuni za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha rubles milioni 36 (Bilioni 1.1) kwa "kukiuka sheria ya habari ya kibinafsi". Kesi zilizowasilishwa na Wakala wa Teknolojia ya Habari ya Shirikisho la Urusi na Wakala wa Usimamizi wa...
Back
Top Bottom