serikali

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Reuben Nhamanilo Aiomba Serikali Kuongeza Nguvu kwa Wananchi katika Ujenzi wa Shule za Msingi Handeni Mjini

    "Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini "Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali imeingia kwenye mtego wa kina Dkt. Slaa mazima, wametimiza lengo la kufungua maandano yao!

    Salam wa nyuki wa mama na team kupinga ubadhirifu, unyanyasaji na mikataba yenye kuleta hasara kwa nchi. Akina Slaa na Mwabukusi safari hii wamecheza kama pele, wametumia mtandao vizuri kucheza na akili za viongozi wa serikali na wamefanikiwa kwenye hilo. Sasa mapambano yanafanywa 'kisayansi'...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mkundi: Serikali iwekeze kwenye huduma za Kijamii

    Mbunge wa jimbo la Ukerewe (CCM), Mhe. Joseph Mkundi ameishauri serikali kuwekeza katika huduma za kijamii ili kukuza uchumi wa taifa. Mhe. Joseph Mkundi ameyasema hayo Novemba 7,2023 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali...
  4. chandeka marwa

    JamiiForums Tanzania Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbungu Pius Chaya ahoji mkakati wa serikali kupambana na Tembo

    Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Dk. Pius Chaya ameihoji serikali je, ni mkakati kuhakikisha inapambana na tembo ambao wamekuwa kikwanzo kwa wakulima wa korosho jimboni hapo? Amesema katika jimbo hilo kuna kilimo cha korosho block farm lakini tembo hao wamekuwa wakiwasumbua sana...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi. "Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo jamii ya LGBT+...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaingia makubaliano kufuta deni la bilion 170 la Mbeya Cement

    Serikali imeingia makubaliano na wawekezaji wa kiwanda cha Mbeya Cement ya kuboresha na kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa kiwanda hicho ikiwa ni Pamoja na kufutwa kwa Deni la Shilingi Billion 170 ili kukiwezesha kiwanda hicho kutengeneza Faida. Serikali inamiliki asilimia 35 ya hisa katika...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Serikali fungeni mikanda msitegemee OC kuingizwa Novemba

    Ni moto kila idara na njaa, sio kawaida tunakwenda robo ya pili ya mwaka wa fedha hakuna activities zinakwenda. Kilichobaki ni kukopwa tu kazi hawatoi posho zaidi ya hela ya mafuta, nayo itakata. Amkeni, amkeni, hamasisheni watu walipe kodi la sivyo mtachanganyikiwa muda sio mrefu kwa madeni...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagizwa kufuatilia kwa haraka mgogoro Kati ya Wananchi na Taasisi ya Efatha uliosababisha watu kadhaa kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na taasisi ya kidini ya Ephata Ministry ambao umesababisha watu kadhaa kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Tsh. Bilioni 43.3 kuboresha Taasisi 661 ili kurahisisha Huduma kwa Wananchi

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeingia mikataba miwili yenye thamani ya Shilingi Bilioni 43.3 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya kimtandao kwenye Taasisi 661 za Serikali ili kurahisisha huduma kwa Wananchi ambao walikuwa wanakutana na changamoto kubwa wanapohitaji...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wasio na choo bora kujengewa na Serikali kwa fedha zao wenyewe

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo kwa usimamizi mkali wa Serikali zao kwa kushirikiana...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inapanga kutumia Tsh. Trilioni 12.10 kulipa Deni la Taifa, Mishahara Tsh. Trilioni 11.77

    Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22 Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia Tsh. Trilioni 47.424 Mwaka 2024/2025

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025. Dkt. Nchemba alisema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali itakopa Tsh. Trilioni 8.69 kwaajili ya Bajeti ya mwaka 2024/25

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa maendeleo wanatarajiwa kuchangia TZS trilioni 4.29 na mikopo ni TZS trilioni 8.3. Mwigulu amesema hayo...
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mpinzani mkubwa wa CCM kwa sasa ni Serikali ya awamu ya tano. Wapinzani wameshindwa kazi yao?

    Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano. Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati. Hawana muda kabisa na hoja za wapinzani. Upinzani umekuwa nyanya kiasi hicho hadi CCM wanatafuta...
Back
Top Bottom