Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 890
- 3,091
nakumbuka nikiwa darasa la 4 ilikuja gari moja shuleni, ikiwa na viatu vya kutosha vikapelekwa darasa moja hivo kila mwanafunzi anaingia na kupata saizi yake nzuri na kuondoka,
tukifungua shule tunapewa daftari na kalam penseli rula bureee,
watoto wasiokuwa na baba au mama hao ndo ilikuwa kipaumbele kila kitu wanapata mpaka nguo za shule
tukifungua shule tunapewa daftari na kalam penseli rula bureee,
watoto wasiokuwa na baba au mama hao ndo ilikuwa kipaumbele kila kitu wanapata mpaka nguo za shule