serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri kwa wanafunzi shule za Serikali

    Serikali ifikirie juu ya usafiri kwa wanafunzi wa shule za serikali ili kutatua changamoto wanayopata wanafunzi katika miji mikubwa. Wanafunzi wamekuwa wakikaa katika vituo hadi saa tatu usiku jambo ambalo ni hatarishi kwa wanafunzi hao. Serikali itenge bajeti ya kununua mabasi ya shule...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme Xmas ni ukaidi ama ndiyo wako juu ya Serikali

    Wamedharau maombi ya CCM na Viongozi wengine wote na wakijuwa kwa dhati yanatoka kwa Rais. Bora wangewapa Waarabu TANESCO na sio Bandari. Na wakawafukuza watu wote wa TANESCO, WOTE naamaanisha wote hasibaki ata dereva.
  3. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Serikali iwe inawaongeza watumishi wake Tsh 100,000/ kila mwisho wa mwaka

    Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali! Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi, Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na kukopwakopwa na wafanyakazi wa umma hasa mwishoni mwa mwaka Mpaka naandika hivi, nimeanza kuwaonea...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kwenye malipo ya serikali/Digipass

    hivi inakuwaje malipo ya serikali yanayo tumia mfumo rasmi wa Benk kama Digipass. Ikifika weekend haifanyi kazi au pengine hufanya kazi kwa 25% na kwa sikukuu kama hizi ndio kabisa sijiu wanazima kabisa. Fikiria karibia National parkfees zote Tanzania zinatumia huo mfumo halafu kwa sikukuu...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini

    Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji Mb), amesema Dhamira ya Serikali ni kuhakikisha viwanda vya wawekezaji wa ndani na nje vinalindwa ili viweze kuzalisha ajira kwa Watanzania. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Desemba 23...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Thamani misaada ya maafa ya Hanang imefikia Tsh. Bilioni 7.7

    Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni. Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania The Guardian: Israel inapoteza vita dhidi ya Hamas lakini Netanyahu na serikali yake kamwe hawataki kukubali

    Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa serikali Tunaomba muwapiganie watumishi wa umma wenye Masters/PhD ili waweze kutambulika kimuundo na kimaslahihi

    Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili. "Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
  11. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Serikali itoke mbele iseme imefilisika

    Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building). Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

    Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote. Tufunguke hapa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM inatutesa kwa suala la Umeme?

    Inasikitisha kuona jinsi Wananchi wanavyoteseka kwa suala la umeme. Kila kukicha umeme unakatwa tangu asubuhi mpaka jioni na hata usiku mpaka asubuhi. Jana nimesoma sababu walizotoa eti kuna upungufu wa mvua kwenye Mikoa inayopeleka maji kwenye mambwawa ya umeme kama Singida na Dodoma Kweli...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni suluhu kwenye mabasi ya mwendokasi mtasababishi magonjwa au vifo vinavyoweza kuepukika

    Jamani kwani serikali inakazi gani??inakuwaje inaleta mfumo mpya kwa lengo la kurahisisha na kuleta ufanisi katika anga la usafiri lakini inashindwa kabisa kufata sheria walizoweka wenyewe?? Juzi nimetoka zangu mkoani kuja zangu Daaslamu huku usafiri mkubwa na watabu ukiwa ni...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Afika Hanang, Wananchi wa Halmashauri ya Hanag Wameishukuru Serikali kwa Misaada ya Kibinadamu

    Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang. Wananchi hao wamezungumza kwa nyakati tofauti wakati...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

    Makonda hata ajifarague na kujibaraguza vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji. Niliowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa. Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Serikali yafuta nauli za Treni, yapunguza nauli za Mabasi kwa 50%

    Serikali imepunguza 50% ya Nauli za Mabasi pamoja na kufuta Nauli za Usafiri wa Treni za Umma kwa lengo la kuwapunguzia Wananchi gharama za Maisha hasa katika Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka. Taarifa ya Serikali, imeeleza kuwa Rais Bola Tinubu ameagiza Mabadiliko hayo yaanze leo Desemba 21...
  18. crome20

    JamiiForums Tanzania Hivi, vitengo vya serikali majina yake yanatokana na nini hasa?

    Kwani haya majina yanatofautinana nini hasa? Utasikia 1. Taasisi ya......... Mfano Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa 2. Bodi ya.............Mfano, Bodi ya Mikopo, 3. Tume ya..........Tume ya Taifa ya Science na Teknologoia 4. Kurugenzi ya...... Mfano Kurugenzi ya Mawasiliano ikulu 5...
  19. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ili kudumisha mshikamano wa Kitaifa anaousema Rais Samia, tuiige Zanzibar kuwa na Serikali ya Mseto 2025

    Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto. Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO" Tanganyika ina bahati...
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inanunua gesi inayochimbwa nchini kwa dola au kwa TSh?

    Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
Back
Top Bottom