serikali

  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Paul Makonda siyo yake, ni ya taasisi "CCM na Serikali"

    Wanabodi, Salaam! Paul Christian Makonda anaposimama kutoa maelekezo tusimhujumu au kumchukulia tofauti. Msimamo anaoutoa siyo wa kwake - ni msimamo wa taasisi yake iliyompendekeza na kumteua "CCM". So wkt wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 na 2020 wapinzani wakiwa Kagera, Dar, Arusha...
  2. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
  3. Scars

    JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa dhahabu Wilayani Chunya nini kifanyike?

    Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya. Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi. Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Makonda anatukumbusha kuwa CCM ni kubwa kuliko Serikali

    PAUL MAKONDA ANATUKUMBUSHA KUWA CCM NI KUBWA KULIKO SERIKALI Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Paul Christian Makonda anafanya kazi nzuri sana ambayo kila mwana CCM na Mtanzania yeyote ambaye ni mpenda maendeleo anapaswa kuikubali. Makonda anatukumbusha kuwa Chama...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Serikali: Elimu ya msingi mwisho darasa la sita kuanzia 2027

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo Bungeni ijini Dodoma alisimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa sera ya elimu na mafunzo ya Elimu 2014 toleo la 2023, amesema sera ya Elimu na mafunzo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na sera iliyopita na maeneo hayo...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kununua Vipuri na Vyuma Katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools

    SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
  7. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Sabaya katika mchuano mkali na mawakili wa Serikali

    Mawakili wanaomwakilisha aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jana walichuana vikali na mawakili wa upande wa Jamhuri wakati wa usikilizwaji wa rufaa ya kupinga Sabaya kuachiliwa huru iliyokatwa na upande wa Jamhuri. Sabaya na wenzake walihukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela na...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Serikali vijana wasio na ajira wameanza kunyanyua nondo!

    Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Kituo cha Forodha Kakozi, Momba

    SERIKALI KUJENGA KITUO CHA FORODHA KAKOZI, MOMBA "Je, kuna mpango gani wa kuweka kituo cha forodha Kakozi, Momba ili kuunga mkono jitihada za kujenga Soko la Mazao la Kimataifa?" - Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania ina...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yakiri kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 214.2 kutokana na Bei kubwa za Mafuta

    Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto. Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali italinda Vijana wapate ajira kwa vigezo vya taaluma na si uzoefu kazini

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali itahakikisha inawalinda vijana kwenye soko la ajira kwa kuhakikisha ajira zao za kwanza kwenye utumishi zinazingatia vigezo vya utaalamu wa kada husika na sio uzoefu kazini. Kikwete amesema hayo leo Jumatano Novemba...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Serikali Umivu ya Kishetani

    Ni ya kinyonyaji ya kishetani. Inayoiba mali za umma kunufaisha watu wachache. Yeye mwenyewe kiongozi mwenyewe hana hili wala lile anapuyanga tu huku na kule. kama zumbukuku ulimwengu upo huku. Watu wanachota tu fedha za maskini. Wenye mabakuli haya, wenye vijiko haya, wenye mabeseni haya...
  13. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Makonda hana jipya, amekuja tu kuvuruga CCM, Serikali na vyombo vya dola. Anapita tu!

    Siku chache sana baada ya Paul Makonda kuteuliwa kushika cheo cha Katibu mwenezi na itikadi wa CCM, cheche za siasa zake za toka zamani zimeanza kuonekana. Makonda ameanza kwa mikwara ya matamko ya vitisho, kebehi na amri za ajabu ajabu kwa watu mbali mbali na taasisi mbali mbali. Kwa watu...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwanaidi: Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
  15. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Wanafunzi Chuo cha Mbeya Training College, Chuo hakijasajiliwa kinatoa vyeti feki

    Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana (2022) wakati tunajiunga na chuo hiki ada ilikuwa ni Shilingi Milioni 1.36 na mmiliki wa chuo...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

    Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga. Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge waagiza Serikali kuchunguza tuhuma za Wanajeshi kupiga na kutesa raia

    Hatua hiyo inafuatia taarifa za Wanajeshi kuvamia makazi ya Watu Oktoba 29, 2023 na kuwajeruhi kwa vipigo ikidaiwa ni kulipiza kisasi kwa madai kuwa Wananchi wa eneo la Garu Kaskazini Mashariki mwa Ghana waliwashambulia Maafisa wa Vikosi vya Usalama wa Taifa waliokuwa wakipambana na ugaidi...
  19. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Rais wa Ujerumani Serikali itumie fursa

    1. Wajerumani ndio waliojenga reli ya kati, na ile ya Dar es Salaam, Tanga, Moshi, tukiongea nao vizuri wanaweza kuboresha Dar, Tanga, Moshi, Arusha kuwa SGR. 2. Ujerumani wapo vizuri sana kwenye miundombinu ya majiji, tukiongea nao vizuri wanaweza kutoa ushirikiano au hata ufadhili kwenye...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Tamko Hali Watanzania Nchini Israel

    Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...
Back
Top Bottom