Shule za serikali za wasichana Arusha

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,188
8,215
Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.

Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha

Ahsanteni
 
Mkuu umeandika vibaya sana, kama unafukuzwa vile, siku ingine fanya proofreading kabla hujatuma uzi.

Shule nzuri ya serikali;

Primary ?
Secondary ?

O level?
A level?
 
Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.

Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha

Ahsanteni
Ifaulu wake ukoje? A level au O level?
 
Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.

Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha

Ahsanteni
Mie pia nahitaji shule yeyote ya bweni ya sekondari nimuamishie kijana wangu kapangiwa shule ya kutwa, nipo Mtwara
 
Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.

Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha

Ahsanteni
Peleka Private kwa Mwalimu Samuel Elisha Enaboishu Secondary +255 713 885 111. Uhakika Kuelewa na Kufaulu Mafunzo
 
Kwa vile nipo hapa Arusha nimeuliza maswali kodogo.
Ilboru Secondary kwa wanaume.(ya serikali)
Tengeru Boys(private)
Kwa wasichana ipo Preciolus Blood ambayo ni private. Bado natafuta ya serikali kwa wasichana.
 
Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.

Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha

Ahsanteni
Kama ni A level,Arusha Secondary kuna bweni kwa wasichana.
 
Back
Top Bottom