Serikali ibadili mchoro wa Daraja la Jangwani mto msimbazi

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi;
Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...!

Daraja la Jangwani liambatane na ujenzi wa barabara za juu za Msimbazi na ile inayoungana na ile ya Msimbazi kutokea HQ ya BRT, barabara ya Msimbazi ni muhimu sana kujengwa upya baadala ya kujenga daraja tu na kuiacha ile barabara ambayo nayo ujaa sana maji wakati wa mvua.

Lakini pia Dar Es Salaam ni moja ya miji inayokuwa kwa kasi sana Pamoja na ujenzi mzuri wa BRT ambao miaka kadhaa jiji la Dar Es Salaam litakuwa bora kwenye usafirishaji hapa Afrika, tuangalie namna ya kuupanua mji huu kwa miundombinu ya barabara na Reli za kisasa.

Mfano, upanuzi wa Kilwa Road kutokea Rangi tatu mpaka Mkurunga mjini kwa njia sita, huku tukiacha miundombinu ya Reli, upanuzi wa Nyerere Road kutokea Gongo la mboto kwenda Kisalawe na Chanika mpaka kutokea Rangi Tatu kwa njia sita pia, Bagamoyo Road upanuliwe kwa njia sita mpaka Bagamoyo mjini, then iende mpaka Msata, then irudi Morogoro Road ambayo inapanuliwa kwa njia nne japo kwa barabara ya Morogoro njia nne ni kiwango cha chini barabara ile ni kubwa sana tuangalie kubadlisha ujenzi uwe njia sita pia inawezekana sema hatuna watu wa kufanya maamuzi kama alivyo kuwa Rais Magufuli.

Baada ya hapo Barabara zilizopo pembeni mwa jiji kama Goba, Kinyerezi, Buza, Kivule kutokea Banana, Mwai Kibaki yote na Wazo Hill inayongana na Goba Roads na Barabara zote za aina hiyo za pembezoni mwa jiji hizo ndo ziwe barabara za njia nne mfano wa Shekilango Road. Mwisho njia za Reli kutoka Chalinze kwenda City Center, Mkurunga kwenda City Center, Bagamoyo kwenda City center na Kisalawe kwenda City Center.

Msisitizo Barabara za Morogoro, Bagamoyo na Kilwa ni barabara za muhimu sana kuwa za kisasa.

Barabara za Kigamboni kama ile ya Mji mwema, kutokea kivukoni na ile inayoanzia darajani zipanuliwe kwa njia sita pia ili kuifungua Kigamboni na barabara mpya kubwa kule Kigamboni ziibuliwe, zaidi Kigamboni ichukuliwe kama eneo maalumu la kiuchumi kwa ukanda wa Pwani, pamoja na kufa kwa mjini wa Kigamboni yaani Kigamboni Development Agency!
 
Miaka 100.
Hebu wajiulize hii kivukio cha kutoka Ocen road kupitia Baharini hadi huko Masaki inakoishia.
Je ilijengwa kwa miaka mingapi chini ya Rais aliyeenda JPM?
Mambo mengine wajifunze kuongea! Hivi ukiwapa tends Hawa China au Japan kweli wanaweza kuchukua mwaka na zaidi kutujengea barabara ya juu.

China wamejenga daraja linalojitenga na kuzunguka linatengeneza barabara murwa sana.

Acheni kuwafanya waTanzania vihiyo.

Ikiwa hivyo Highway ya kutoka Kibaha kwenda Morogoro si itachukua ngapi!.
 
Ujaelewa, ni kwamba hiyo daraja itadumu kwa miaka 100.
Japo naona mtoa mada kichwa cha habari na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Nimeona Waziri wa TAMISEMI anasema kero ya mto msimbazi itatuliwa kwa miaka 100 ijayo! Ila iko hivi;
Eneo la Jangwani ni muhimu sana kwa muonekano wa Jiji la Dar Es Salaam, Pamoja na serikali ya Rais Samia kukosa maamzi, ni serikali isiyofanya maamzi kwa muda na yenye watendaji wavivu sana...!

Daraja la Jangwani liambatane na ujenzi wa barabara za juu za Msimbazi na ile inayoungana na ile ya Msimbazi kutokea HQ ya BRT, barabara ya Msimbazi ni muhimu sana kujengwa upya baadala ya kujenga daraja tu na kuiacha ile barabara ambayo nayo ujaa sana maji wakati wa mvua.

Lakini pia Dar Es Salaam ni moja ya miji inayokuwa kwa kasi sana Pamoja na ujenzi mzuri wa BRT ambao miaka kadhaa jiji la Dar Es Salaam litakuwa bora kwenye usafirishaji hapa Afrika, tuangalie namna ya kuupanua mji huu kwa miundombinu ya barabara na Reli za kisasa.

Mfano, upanuzi wa Kilwa Road kutokea Rangi tatu mpaka Mkurunga mjini kwa njia sita, huku tukiacha miundombinu ya Reli, upanuzi wa Nyerere Road kutokea Gongo la mboto kwenda Kisalawe na Chanika mpaka kutokea Rangi Tatu kwa njia sita pia, Bagamoyo Road upanuliwe kwa njia sita mpaka Bagamoyo mjini, then iende mpaka Msata, then irudi Morogoro Road ambayo inapanuliwa kwa njia nne japo kwa barabara ya Morogoro njia nne ni kiwango cha chini barabara ile ni kubwa sana tuangalie kubadlisha ujenzi uwe njia sita pia inawezekana sema hatuna watu wa kufanya maamuzi kama alivyo kuwa Rais Magufuli.

Baada ya hapo Barabara zilizopo pembeni mwa jiji kama Goba, Kinyerezi, Buza, Kivule kutokea Banana, Mwai Kibaki yote na Wazo Hill inayongana na Goba Roads na Barabara zote za aina hiyo za pembezoni mwa jiji hizo ndo ziwe barabara za njia nne mfano wa Shekilango Road. Mwisho njia za Reli kutoka Chalinze kwenda City Center, Mkurunga kwenda City Center, Bagamoyo kwenda City center na Kisalawe kwenda City Center.

Msisitizo Barabara za Morogoro, Bagamoyo na Kilwa ni barabara za muhimu sana kuwa za kisasa.

Barabara za Kigamboni kama ile ya Mji mwema, kutokea kivukoni na ile inayoanzia darajani zipanuliwe kwa njia sita pia ili kuifungua Kigamboni na barabara mpya kubwa kule Kigamboni ziibuliwe, zaidi Kigamboni ichukuliwe kama eneo maalumu la kiuchumi kwa ukanda wa Pwani, pamoja na kufa kwa mjini wa Kigamboni yaani Kigamboni Development Agency!
Akikopa,utakua na Uzi rais huyu anakopa sana
 
Back
Top Bottom