BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu.
Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake.
Tukumbuke katika utawala wa Magufuli kulianza mambo kama haya kiutani utani lakini iligharimu kabisa sifa ya nchi yetu.
Ni wakati sasa Mamlaka za juu akiwemo Rais atoke na kukemea haya mambo