Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

biabia

Senior Member
Nov 18, 2023
193
242
Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata.

Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy zilizokuwa zinaenezwa mtandaoni.

Vyombo vya habari pia vimejitahidi kuleta hili jambo kwenye center stage.

Nina ombi moja kabla sijaeleza kitu chochote. Sisi ni watanzania, tunaunganishwa na lugha moja pamoja na uzalendo. Dini zimeletwa na falme na mataifa mageni na yasitufanye tuwe na uadui.

Mtanzania mwenzetu ameuawa kikatili na hata kama wewe ni pro whatever, unaweza ukatoa pole tu kwa familia. Sio kuanza kuleta theory za ajabu ili kuhalalisha upande unaoupenda.

Juzi kati katika pita pita zangu nikakutana na site moja iliyokuwa na picha/video zaidi ya zile tulizoziona.

Kiufupi video moja inaonyesha yupo nyuma ya pickup, huku miguu yake imekaa namna si ya kawaida, ni kama disfigured huku akiwa hana vazi lake la kujistiri. Sitaleta link kuonyesha hivi vitu. Nilitaka nieleze tu mjue nilichoweza kuona.

Kwa ambao bado mnabisha kuwa Joshua ni mgambo, nimepata ig account yake anaitwa joh_maker_og. Tumkumbuke Enzi za uhai wake akiwa na furaha.

Last but not least, inasemekana kuna wabongo wenzake waliokuwa wote bado wapo. Ushahidi ni picha alizokuwa anapiga ni kama mtu mwingine kampiga picha na sio yeye mwenyewe. Hawa watu wako wapi?

Ezekiel Kitiku alijieleza kwenye ishu ya Clemence mbona hao wengine kimya?

Nina uhakika wengine ni members wa JamiiForums. Nyie mwenzenu anafanyiwa character assassination mnakaa kimya tu.

Jitokezeni mueleze picha nzima kwa sababu hata mimi nina sintofahamu.

Nimemaliza

Nimetag picha ili muone watu wanavyodanganya
 
Attachments

  • Screenshot_20240103_120050_Chrome.jpg
    Screenshot_20240103_120050_Chrome.jpg
    60.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240103_114828_Instagram.jpg
    Screenshot_20240103_114828_Instagram.jpg
    90.8 KB · Views: 3
U
Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy zilizokuwa zinaenezwa mtandaoni. Vyombo vya habari pia vimejitahidi kuleta hili jambo kwenye center stage. Nina ombi moja kanla sijaeleza kitu chochote. Sisi ni watanzania, tunaunganishwa na lugha moja pamoja na uzalendo. Dini zimeletwa na falme na mataifa mageni na yasitufanye tuwe na uadui. Mtanzania mwenzetu ameuawa kikatili na hata kama wewe ni pro whatever, unaweza ukatoa pole tu kwa familia. Sio kuanza kuleta theory za ajabu ili kuhalalisha upande unaoupenda.

Juzi kati katika pita pita Zangu nikakutana na site moja iliyokuwa na picha/video zaidi ya zile tulizoziona. Kiufupi video moja inaonyesha yupo nyuma ya pickup, huku miguu yake imekaa namna si ya kawaida, ni kama disfigured huku akiwa hana vazi lake la kujistiri. Sitaleta link kuonyesha hivi vitu. Nilitaka nieleze tu mjue nilichoweza kuona.

Kwa ambao bado mnabisha kuwa Joshua ni mgambo, nimepata ig account yake anaitwa joh_maker_og. Tumkumbuke Enzi za uhai wake akiwa na furaha.

Last but not least, inasemekana kuna wabongo wenzake waliokuwa eote bado wapo. Ushahidi ni picha alizokuwa anapiga ni kama mtu mwingine kampiga picha na sio yeye mwenyewe. Hawa watu wako wapi? Ezekiel Kitiku alijieleza kwenye ishu ya Clemence mbona hao wengine kimya? Nina uhakika wengine ni members wa JamiiForums. Nyie mwenzenu anafanyiwa character assassination mnakaa kimya tu. Jitokezeni mueleze picha nzima kwa sababu hata mimi Nina sintofahamu.

Nimemaliza

Nimetag picha ili money watu wanavyodanganya
Unashangaa nini bwashee? Wale wote ambao hatukwenda JKT tumefanya mafunzo ya Mgambo! Na kwa taarifa yako hata Watumishi wa umma walishaamriwa kufanya mafunzo hayo. Sioni tatizo
 
Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy zilizokuwa zinaenezwa mtandaoni. Vyombo vya habari pia vimejitahidi kuleta hili jambo kwenye center stage. Nina ombi moja kanla sijaeleza kitu chochote. Sisi ni watanzania, tunaunganishwa na lugha moja pamoja na uzalendo. Dini zimeletwa na falme na mataifa mageni na yasitufanye tuwe na uadui. Mtanzania mwenzetu ameuawa kikatili na hata kama wewe ni pro whatever, unaweza ukatoa pole tu kwa familia. Sio kuanza kuleta theory za ajabu ili kuhalalisha upande unaoupenda.

Juzi kati katika pita pita Zangu nikakutana na site moja iliyokuwa na picha/video zaidi ya zile tulizoziona. Kiufupi video moja inaonyesha yupo nyuma ya pickup, huku miguu yake imekaa namna si ya kawaida, ni kama disfigured huku akiwa hana vazi lake la kujistiri. Sitaleta link kuonyesha hivi vitu. Nilitaka nieleze tu mjue nilichoweza kuona.

Kwa ambao bado mnabisha kuwa Joshua ni mgambo, nimepata ig account yake anaitwa joh_maker_og. Tumkumbuke Enzi za uhai wake akiwa na furaha.

Last but not least, inasemekana kuna wabongo wenzake waliokuwa eote bado wapo. Ushahidi ni picha alizokuwa anapiga ni kama mtu mwingine kampiga picha na sio yeye mwenyewe. Hawa watu wako wapi? Ezekiel Kitiku alijieleza kwenye ishu ya Clemence mbona hao wengine kimya? Nina uhakika wengine ni members wa JamiiForums. Nyie mwenzenu anafanyiwa character assassination mnakaa kimya tu. Jitokezeni mueleze picha nzima kwa sababu hata mimi Nina sintofahamu.

Nimemaliza

Nimetag picha ili money watu wanavyodanganya
mkuu rudi tena kusoma ulichoandika. ukielewa basi tueleweshe na sisi tujue umeandika nini
 
Nilichoelewa unataka kusema kuwa Joshua alikuwa mapiganoni Kwa ivo aliuawa vitani.

Na wewe unataka kuonesha kuwa Joshua hakuuawa kama raia bali alikuwa ni mwanajeshi.

Kwa ivo Joshua alikuwa Hamas au Israel??
 
Hebu quote sehemu niliyoinsinuate kitu kama hicho.
 
Usipopaelewa ni wapi. Siwezi kuanzisha thread tofauti ili kuwasilisha nibachokijua. Nimeanza kumpongeza Nanyaro kwa kuwa spokesperson mzuri wa familia, pili nikaomba watu tuwe na umoja katika hili swala la ndugu yetu kuuawa kwenye nchi ya kigeni ili angalau azikwe kwa heshima, Tatu nikazungumzia picha Tatu nilizoziona akipelekwa Gaza nyuma ya pickup, Nne nikatag Instagram page yake kwa watu waliokuwa wansingizia kuwa ni Askari. Don't mind hio typing error ya Mwisho. Nimefanya flow of information vizuri tu. Mwisho kabisa nilikuwa ninauliza kuwa tungewapata wenzake watueleze ilikuaje. What is not understood hapo exactly? Au una short attention span?
mkuu rudi tena kusoma ulichoandika. ukielewa basi tueleweshe na sisi tujue umeandika nini
 
Usipopaelewa ni wapi. Siwezi kuanzisha thread tofauti ili kuwasilisha nibachokijua. Nimeanza kumpongeza Nanyaro kwa kuwa spokesperson mzuri wa familia, pili nikaomba watu tuwe na umoja katika hili swala la ndugu yetu kuuawa kwenye nchi ya kigeni ili angalau azikwe kwa heshima, Tatu nikazungumzia picha Tatu nilizoziona akipelekwa Gaza nyuma ya pickup, Nne nikatag Instagram page yake kwa watu waliokuwa wansingizia kuwa ni Askari. Don't mind hio typing error ya Mwisho. Nimefanya flow of information vizuri tu. Mwisho kabisa nilikuwa ninauliza kuwa tungewapata wenzake watueleze ilikuaje. What is not understood hapo exactly? Au una short attention span?
Hapa nimekuelewa bosi
 
Yaani kijana aliyekuwa anasoma chuo hapa Tanzania, akapata nafasi ya kwenda kujifunza mafunzo ya kilimo ya muda mfupi huko Israel halafu auwawe na Hamas, ghafla watu wanasema alikuwa ni mwanajeshi wa Israel vitani!
Mara alikwenda kujifunza mambo ya jeshi huko Israel!
Hivi watu wanajua taratibu ya kujiunga jeshi la nchi yoyote ?

Akili za kiuwendazimu kabisa za wavaa kanzu wachache wajinga.
 
No prove.. No right to speak, yani ungekuja na hiyo prove ya picha na link husika ungeheshimika sana hata kama hujui kuandika mkuu..
 
Mimi kilichoniuma ni mwili wake umeharibika sana kusema ukweli. Kwanini waupeleke mwili Gaza? Kwanini wamvue suruali yake na kuvunja miguu juu? Yaani I'm traumatized
 
No prove.. No right to speak, yani ungekuja na hiyo prove ya picha na link husika ungeheshimika sana hata kama hujui kuandika mkuu..
Hebu nieleze mwandishi uliyebobea? Siweki link maana hamchelewi kusambaza hizi picha mitandaoni. Mimi nimeeleza nilichoona. I ain't showing anyone anything. Nimeattach picha mbili na Instagram yake juu. What else do you want bro
 
Back
Top Bottom