Bunge latengua kanuni kuruhusu Serengeti Girls kutinga mbele ya Bunge

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,426
7,737
Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge.

Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini India.

Spika amewataka warudi na kombe ili wakae tena Bungeni na amewatakia heri.

1.jpg
2.jpg
3.jpg
 
Kwani bunge lina hadhi gani mpaka waone ni bonge la habari kuwaingiza hao wasichana wa soka? Hilo bunge lililojaza majizi ya kura limeshuka hadhi yake.
 
Tulia anatafuta Kiki kizembe Sana, Sasa wakiingia bungeni ndio inaongeza Nini?
Kenya huwa wanaleta Medali na Medali hawajahi itwa Bungeni zaidi ya Ikulu. Nchi nyingi Bungeni ni sehemu nyeti sana, Bongo hata Mziki unaweza pigwa kwenye ule ukimbi
 
Kenya huwa wanaleta Medali na Medali hawajahi itwa Bungeni zaidi ya Ikulu. Nchi nyingi Bungeni ni sehemu nyeti sana, Bongo hata Mziki unaweza pigwa kwenye ule ukimbi
Huyu mdada anajua bunge lake halina mvuto kwa watz , analazimisha mvuto
 
Hongera kwa Serengeti girls! Mmeweka historia kwa kufuzu.
Lakini Bunge lisingetengua kanuni na kuwaingiza ndani ya ukumbi. Wangekaa tu kwenye gallery kama wageni wengine. Vinginevyo itaanza tabia ya kutengua kanuni.
Tuache mizuka.
 
Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge.

Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini India.

Spika amewataka warudi na kombe ili wakae tena Bungeni na amewatakia heri.
Dah washatiwa nuksi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom