pesa

  1. Adolph Jr

    Msaada, Naulizia power tiller zuri,lenye nguvu kwa pesa ya Mtanzania

    Wasalaam.. Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa.. Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
  2. Nzelu za bwino

    Je, ikitokea wanaohusika na ubadhirifu wa pesa na Mali ya umma hawajachikuliwa hatua stahiki mwananchi wa kawaida hawezi kuwashtaki?

    Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG. Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika. Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
  3. D

    Ushawahi kupata pesa nyingi sana kwa wakati mmoja bila kutegema? Ulijisikiaje?

    Kwema wadau? Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nilikutana na picha hii chini ya huyo mwamba aliyeshinda Milioni 10 kwenye kampuni moja ya kubetti mtandaoni, Sokabet. Nilibaki najiuliza tu huyo mwamba anajiskiaje? Furaha sana maana inawezekana hajawahi kushika pesa nyingi hivyo? Au anajiskia...
  4. Melki Wamatukio

    Mwanamke huficha wapi pesa yake?

    Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani ila tu sijui ni location ipi. Nimetafuta hadi nimechoka. Nikisema nimuazime, hawezi nipatia. Si...
  5. Nyamwage

    Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

    Habari Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
  6. death strokes

    Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote. Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
  7. Majighu2015

    Natafuta mshirika wa maswala ya TEHAMA tupige pesa

    Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha. Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
  8. Wakusoma 12

    Wastani wa shilingi milioni 423 zimepigwa na kila halimashauri nchini zikiwa ni pesa za mikopo kwa vijana.

    Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa...
  9. Mystery

    Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  10. Roving Journalist

    Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba. WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA Spika wa...
  11. Dasizo

    Kazi gani inadharaulika lakini ukiifanya inakuingizia pesa ndefu?

    Leo tupeane A, B, C za kujiinua kiuchumi, unadhani ni kazi ipi inadharaulika mtaani kwako lakini ndo inayokuweka mjini?
  12. Brain Kingdom

    Kuna wanawake ni balaa wanajua kila namna tunavyoficcha pesa tukilala nao guest houses/lodges/hotels

    Hello JF, 👇👇👇 Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au ushaficha pesa zako kwenye socks, pillow, uvunguni, kwenye godoro. Pombe mbaya sana ilinisaidia kumjua...
  13. B

    Katiba Mpya tutumie ile ya Warioba badala ya kuteketeza pesa

    Binafsi kama mpenda maendeleo. Mimi ningekuwa Mama ningependekeza katiba ya warioba iongezewe vitu vichache tu. Tutengeneze Mtandao ambao raia watatoa maoni yao kwa kuna AI sasa hivi tunazichakata hizo taarifa within a few days(wazee wa data science na python wapo mtaani kibao). Then inapelekwa...
  14. R

    Waalimu wachangishwa pesa ya Mwenge; bajeti ya Mwenge inafanya kazi?

    Watumishi wa umma wanachangishwa pesa za Mwenge kwenye wilaya na Mikoa nchini. Najiuliza hizi fedha zinakwenda wapi endapo Wakimbiza Mwenge wamelipwa stahiki zao zote. Mafuta ya kukimbiza Mwenge bajeti IPO Gharama nyingine za emergency zinatengwa kwenye bajeti Viongozi WA halmashauri wote...
  15. N

    Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
  16. tzhosts

    Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  17. T

    Hili la utafunaji wa kodi zetu! Wananchi tuonyeshe hisia zetu!

    Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu? Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
  18. T

    Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

    Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo! Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa...
  19. Brain Kingdom

    Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  20. NetMaster

    Makabila ya Mara mnatia aibu: Wanaume kutahiriwa bila ganzi sio ushujaa, Heshima ya Mwanaume ipo kwenye Pesa na Power

    Dunia imepuga hatua kwenye nyenzo za utabibu kwenye kutahiri na hakuna mantiki ya kutumia mbinu za zamani zenye maumivu makali bila ganzi. kuahiri kwa kisu kwa zama hizi ni kama kuhangaika kutafutana majumbani wakati yupo zama za simu za mikononi. Hayo mambo ya kutahiriwa bila ganzi yaachwe na...
Back
Top Bottom