Movie ya The Beekeeper ni dongo kwa viongozi wakubwa ambao utumia wanao au watu kujitafutia pesa haramu kwa ajili madaraka yao

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani.

tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k yakilindwa na wakubwa ambao hata ukijaribu kutafuta ukweli uwezi pata.

Untitled.jpeg
 
Back
Top Bottom