Dj Ally B: Maneno kidogo pesa nyingi

Nasemajee nasemajee" end ze mwisho utasikia jamaa punga au jamaa anasafilisha madawa ya kulevya... Ila ngoja kwanza eny kizaz msicho na uelewa kusema mitandaon una hela ni kaz ndogo sana hasa ukiwa maarufu vuta picha clip ina dakika ngap? 3 haya vp leo unaazima gar unashutia unarusha mtandaon kesho unakod nyngn una rusha mtandaon, hiv nyie kizaz msicho na akil mfano ww mfanyakaz wa taasis flan unatumwaga kupeleka pesa bank unafika katikat unachukua clip ukiwa na manoti na misifa kibao zen unazipeleka bank,,? Eny kizaz kisicho na akil umekod hotel umewatia wahudumu pesa afu unatangaza kwenye clip jengo na gar zilizopo zako nani atakupinga kwenye hizo clip zako? Samtaimu tutumie akili ya kufikiri sio hsia hata wewe ukiamua unaweza cha kufanya anza kutafuta jina zen jipendekeze kwa mabos wenye mandinga kumamamamamamamake
 
Chembe chembe za wivu kama zilivyo chembechembe za mavi matakoni mwa demu ukimpiga dogi staili
 
Angalia hapa jinsi Dj Ally anavyotamba na Mandinga yake.

View attachment 2880234

Anakwambia tafuta hela ili uwe na machaguzi mengi.
Nilimuona TikTok akiwa Morogoro kamtembelea Bibi yake Mzee,kile kitanda anacholalia Bibi yake na yale mazingira ya Chumba hata ya Mbwa wangu nyumbani yana nafuu,hizi show off za kuonyesha ana pesa nyingi wakati ndugu zake wanaishi jalalani sidhani kama zina faida
 
BILLGATE-nilianzia mbali kutafuta, changamoto ni nyingi.

DANGOTE-nilikopeshwa na babu,ila changamoto ni nyingi sana kufika hapa,usikate tamaa.

MO-safari ya mafanikio sio rahisi,inahitaji kujikana.

MENGI-I can,I must,I will jiambie hivi.

Godlove,ally B-kijana tafuta hela,acha kukaa megetoni,cheki ndinga zangu,acheni uvivu vijana😂😂😂😂😂
 
YA MITANDAONI, YASIKIE, YAANGALIE, YASOME. YA ACHE HUKO HUKO. YAKO MBALI SANA NA UKWELI.

AMINI, WEWE UNAWEZA KUWA NA MAISHA MAZURI KULIKO HAO UNAO WAFIKIRIA.

KUMBUKA,UNAPO AMBIWA TAFUTA PESA WANA MAANISHATUMIA NJIA ZOTE HARAMU NA HALALI. HIVYO KUNA MALI ZA KAFARA, UCHAWI, DHURUMA, MAGENDO, KUTAKATISHA PESA, KUKWEPA KODI, RUSHWA.
NA NDIO UTAAONA WAKATI WA AWAMU DHAIFU, MATAJIRI WENGI UJITOKEZA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom