Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,679
40,931
Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa.

Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU.

Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe.

Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna.

Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana wapi oli niende kwa wakala nikaitoe.
 
Hiki cha Asbuhi kibaya sana tena kikiwa na mbegu..
Na umetoroka Lini Unatafutwa huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom