Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu.

GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na ya Kimataifa kama AFCON na rasmi Leo nimepata majibu na sitohoji tena Abadani.

Msijali Boss kasema alikuwa Ziarani Visiwani Zanzibar na alishindwa kuwa karibu na Timu na pia aweze Kumalizana vizuri na Waamuzi kupitia Tigo Pesa System ila kuanzia Mechi zake zijazo Utamaduni ule ule wa Tigo Pesa utaendelea na atawapoza kwa Timu kushinda tena Goli la Kono la Nyani ( Tano Tano ) ambazo zinapendwa na Wafuasi wa Timu kwa Kuhonga Mabeki na Makipa waachie bila kusahau Kuwashawishi Wachezaji wakubwa, maarufu na tegemezi Wajivunje ( Wasicheze ) au Wacheze chini ya Kiwango.

Senene na Ndizi ni Lishe nzuri sana!!!
 
Mimi ni shabiki wa Yanga na kiukweli siwezi mind juu unatutania kuhusu draw ya leo maana hata team yako simba ikizingua huwa unawachana hivyo hivyo, Genta hupendi kabisa unafki, tupo pamoja mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom