Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,081
Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu.

kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito.

Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa miaka 10 mfululizo.
 
Hii nchi mambo hayajawahi kuw rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu kukiwa na raisi mswahili.

kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na kipindi hiki nikujuze tu ya kwamba watu wanapiga maokoto sio mchezo.

Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa miaka 10 mfululizo,
Naunga mkono hoja na umeongezae mle mle kwenye ushauri naowapaga.

Saizi Kila sekta unapata pesa Sasa bubiria aje Rais mnaemtaka mwenye hulka ya Mwendazake mtaishia kuwa maskini wa kutupwa.

Atavuruga Kilimo, biashara,mahusiano na kuanzisha propaganda za kumuabudu na wote mtaufyata.

Ccm Huwa wako tayari wakose hela sio madalaka maana Vigogo watendelea kuwepo.
 
kipindi hicho ni cha kula maokoto ya sasa shughuli zako uwe unafanya kwa kuzuga tu maana vyuma vitakazwa sana
 
Hicho kipindi watu walikua wanapewa pesa bure au??
Pesa itengenezee mfereji itakuja tu.. hata aja Rais gani... Lazima ije tu!
 
Back
Top Bottom