pesa

  1. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada; Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
  3. Complicator

    JamiiForums Tanzania AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena. Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tujadili changamoto tunazokutana nazo tunapotoa misaada kwa ombaomba njiani na wenye shida katika jamii

    Wakuu huu ndio msimamo wangu katika kutoa msaada kwa chochote nitakachokuwa nacho. Sitaki kusaidia Pesa nataka huduma au vitu, Kama ni nauli, nitakukatia tiketi au namlipa konda, kama ni ada nitakupa bank slip. Kama ni chakula nitakununulia au nitatuma mtu akuletee manually kama uko mbali. Hii...
  5. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

    Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate. Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision. Halafu inatokea ghafla...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania fanyeni kazi na mtafute pesa. Maisha sio Magumu

    Boniface Simbachawene amewachana live watu waache visingizio na watafute pesa kwa kufanya kazi zaidi kwani maisha sio magumu Bali mahitaji ya pesa yameongezeka. My Take Watu waambiwe ukweli hakuna kupakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa.😂😂 ===== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Malengo bila Pesa ni Porojo: Motivational Speakers Acheni Kulaghai Vijana

    Mara baada ya kuweka malengo yako, kitu unachopaswa kuwa nacho ni pesa za kufanya malengo yako yatimie. Vinginevyo hayo malengo yako yatakuwa kama pointi za Nyambari Nyangwine yaani Land alienation, Forced labour, Taxation, Low wages, Long working hours nk. Motivational Speakers...
  8. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kupitia pikipiki..?

    Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
  9. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ileje lipeni pesa za kujikimu

    Ndugu wanabodi. Hali ni tete kwa sisi ajira mpya kada ya elimu na afya kwenye halmashauri ya wilaya ya Ileje. Fedha za kujikimu zimeshatolewa, waraka umetoka, wamekaa vikao kuzigawa katika vifungu kwa mujibu wa taratibu zao. Pesa ziko tayari yapata wiki mbili nyuma. Tunaombeni mtulipe huku...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  11. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama Dhahabu ni pesa, kwanini tupokee mgao wa makaratasi Badala ya Dhahabu?

    Zimbabwe imetengeneza sarafu ya Dhahabu yenye thamani sawa na USD 900 baada ya pesa Yao kutoimarika. Sie Watanzania tumebinafsisha migodi yetu, wachimbe pesa Kisha kutupa mgao wa makaratasi, tena Kwa makadirio na wakati mwingine wanatangaza HASARA na kubadili Majina Ili kukwepa Kodi mf Kutoka...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi wakosa madaraja, washangazwa pesa za madaraja zilizotoka halmashauri kurudishwa tena halmashauri

    Wananchi wa kata mbili za Sinoni na Lemara wameshikwa na mchangao wa aina yake baada ya halmashauri ya jiji la Arusha kurudisha pesa walizokuwa wametoa kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambalo ni kiunganishi kati ya kata hizo mbili. Awali baada ya pesa hizo kupatikana kutoka halmashauri...
  14. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Pesa zimeokotwa Zanzibar, anatafutwa mwenyewe

    Pesa nyingi zimeokotwa siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2023 eneo la kidongo chekundu karibu na hospitali ya wagonjwa wa akili, muhusika aliyepoteza ametakiwa kuwatafuta wahusika kupitia namba ya simu 0777 842 525. Wananchi wameombwa kuacha kufanya usumbufu kwa ambae si pesa yake. Miaka mitatu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako. Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
  18. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  19. SirLuke

    JamiiForums Tanzania Kosa kutumia pesa usiyoitambua

    Wana JF, Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
  20. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

    Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya ) - Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya) -...
Back
Top Bottom